Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Nawakumbusha tu dada zangu. Katika maisha yenu kuna nguo kuu nne za kuvaa.
1) Sare ya Shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)
NB:
i. Ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili
ii. Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu. [emoji13]
Habari Za Mchana Ndugu Zangu
Mwaaaaaaaaahhh totoz Wote[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]