Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake :: KUKUMBATIANA Mtindo...
2 Reactions
34 Replies
59K Views
Natafta mrembo aliye tayari kunizalia mtoto. Nita toa huduma zote wakati wa ujauzito wake adi malezi na makuzi ya mtoto. Sifa:1.Awe ni mtumishi wa serikali 2.Awe mkristo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja amelalamikia vituko vya mpenzi wake waliyekutana kanisani anayemuonesha maajabu kitandani. Kwenye barua aliyomwandikia mtaalamu wa matibabu na mwanasaikolojia maarufu,Kijana huyo...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Hello JF Hii inaenda Kwa Wanaume wote.. hivi Utachukua Uamuzi gani Pale Umeishi na Mpenzi wako kwa Takribani Miaka 6+ toka Mpo Secondary. Sasa mnaelekea kwenye Uchumba na inatokea Anapata Mimba...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni kitu kinachosikitisha, asilimia kubwa ya wanawake wanapenda au wanatamani kuwa na wanaume ambao tayari wanauwezo na Mali. Wanasahau kuwa katika kila mwanaume aliyeendelea kuna uwezekano wa...
10 Reactions
64 Replies
7K Views
Mambo vipi waungwana, Hivi kwa mfano ikitokea umempa binti wa chuo ujauzito serikali inaweza kuhusika kukuwajibisha kama ilivyozoeleka kwa wanafunzi wa sekondari, hebu tupeane uzoefu kwa hili...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
Kabla sijaamua kuwa na nyumba ndogo imenibidi nitumie mbinu zote za kumrekebisha mke wangu ili aachana na mambo yanayosababisha mimi nioe mke mwingine. Nimejaribu lakini naona anajirekebisha siku...
6 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakati mwingine ni vigumu kuamini, lakini jambo hili huwatokea wanawake wengi kwamba wanaume wanaotoka nao kuna uwezekano mkubwa wakawa wanatoka na wanawake wengine kwa nyakati tofauti na hufanya...
29 Reactions
178 Replies
78K Views
Habari zenu jamani Leo nakuja na uzi wa majanga. Kwa ufupi nilideti na mke wa mtu japo mume wake yuko mbali na hawakai nae. Sasa kuna siku nilimuita home nilikuwa na ukame wa haja na siku hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unakuta mwanamke yupo tayari mumewe awe na michepuko mitaani, ila anamzuia kuoa mke wa pili. Tena unakuta anamsisitiza "kuliko kuniletea mke mwenzangu, bora uwe na vimada" - Ni ujuha, kwa kuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalam wana wa jukwaa, Ni imani yangu mu buheri wa afya, nami ni mzima kabisa. Nimepatwa na wazo la kuwa na mtoto mmoja wa pekee pindi niwapo na familia. Wadau mlio na mtoto mmoja na wale...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakuu, Ni jana tu nilikuwa nachat na mke wangu mtarajiwa ambaye ni mwema na ni mtiifu sana, hana tabia ya kunikwaza ovyoovyo, na ikitokea ananiomba msamaha sana. Tulikuwa tunajadili kuhusu...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwa kuweka video call, sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika. Nasema hivyo unakuta mwanamke ana IMO apps anamlazimisha mume na yeye...
10 Reactions
75 Replies
8K Views
Nawashanga sana ninyi wadada. Unajua kabisa mtu ana mke wake lakini unakubali uwe nyumba ndogo yake. Kwako huyo mwanamume halali. Anamaliza mambo yake na kurudi kwa mkewe. Usiniambie eti ni...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU ,naomba kuuliza hivi kitokana na uhitaji mkubwa wa tendo la ndoa kwa mwanaume na ikatokea mwanamke ambaye anakuwa na maamuzi ya kusema leo sitaki wakati mume anahitaji hapa...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu Miaka yangu ni 30-35 Mume naemtaka awe 35-40 Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk...
12 Reactions
66 Replies
9K Views
Hello JF, Katika maisha kila binadamu hukosea na aombapo huweza kusamehewa au kutokusamehewa, kwa wale mnaosamehe mnawezaje kufanya hivyo? Sababu mimi mtu akinikosea kitu ambacho kikanitoa chozi...
3 Reactions
109 Replies
10K Views
Hello Walahi hawa viumbe wameumbika. Tangu nianze kuwakwatua sijawahi kuona mbovu. Mimi mtu akishakuwa wa kike tayari ananivutia, then awe mweusi umbo la wastani. Shout out kwa girls, wote ni...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom