Ndoa ni muhimu ila sio muhimu sana.

Ndoa ni muhimu ila sio muhimu sana.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Kwa sababu sometime unaweza ukaona umeoa kumbe umekalibisha tazizo nyumbani kwako.
Au umekalibisha upinzani wa kweli nyumbani kwako kila utakalofanya ww kwake linaonekana ni baya. Au umekosea.
Na hii inachangiwa na kiasi kikubwa kutokana utofauti wa umri.
unajua umri siku zote unazungumza kwamba saizi ww fanya hivi au fanya vile. na unakuta wife wako labda umemzidi miaka 7. naye umri wake unamwambia fanya hivi na ww umri wako utakuambia fanya vile. kutokana umri wako na hapo ndipo matatizo na mivutano inaanzia. lakini ww ambaye unakuwa ni dereva wa familia yako ww ndio utajua utembee sipidi gani na wakati gani na maeneo gani lakini sio uendeshwe na kelele za abilia wa familia yako.
Na ukiona spidi unayo enda nayo wife wako hajalidhika nayo na wakati hajui hata kuendedha gari. basi mwambie tu ashuke mtakuna mbele ya safari.
 
Vipi ushamwambia ashuke au, maana sio kwa thread hii saa hizi.
 
Ndoa ni muhimu, tena muhimu sana.
Kwa sasa utafikiria hvyo kwa kua bado kijana, una nguvu na unachotaka unapata, lakin kumbuka umri unaenda kuna wakati utamtaka huyo mke angalau akupikie.

Maisha ya ndoa kila mmoja anatakiwa asimame kwenye mstari wake, aliyekuvuruga ni mmoja usichanganye wote
 
Back
Top Bottom