Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi mtu akikwambia hivi anakua kamaanisha nini "Mapenzi yaleyale wanaume walewale mapenzi ni moyo wengi huponzwa na tamaa".
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukweli lazima usemwe bila kujali utawafurahisha wangapi? Ama nani na nani? Malezi ya sasa wanayoyapata watoto wa kike ni malezi mabovu sana kwa maisha yao ya baadae. Si kila jambo ni la kuiga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema wakubwa? Wakuu, ni week ya tatu sasa my sweet dearling hataki kupokea simu zangu wala kujibu texts zangu na sielewi nifanyaje. Ishu iko hivi, kuna siku tulikua na mtoko wa jioni pamoja na...
2 Reactions
81 Replies
13K Views
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu, Nipo hapa kituo cha Polisi kwa masuala yangu binafsi, ila nimekutana na kesi moja, kuna jamaa kawekwa ndani na mpenzi wake wa kike. Katika uhusiano wao, wamejaliwa kupata mtoto mmoja...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Nianze kwa kusema kwamba nimewa-miss sana wasomaji wangu!Ni wiki moja tu tangu tumeachana lakini kwangu naona nikama mwezi hivi kwani nilitamani niwe nakutana nanyi kila siku kupitia safu hii ila...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nawasalimu, Mimi na mwanamke wangu tunaishi katika ule utaratibu unaoitwa na wataalam wa mahusiano ""come we stay"" yaani tumekubaliana kuishi pamoja bila ndoa, yeye amenizidi miaka...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Kiukweli hii tabia sijui kwanini nashindwa kuiacha yaan hata kama naongoza na mtu lazima tu ntaangali, tena usiombe iwe kubwa maana ntazunguka weee then ntarudi tena kuicheki.
6 Reactions
60 Replies
11K Views
Habari wakuu. Naomba maoni yenu kwenye swala hili la ndoa. Ukitilia maanani kuwa ndoa ifungwapo, yamini huliwa na mwanamke na aidha mwanamume kuwa watapendana na kuvumiliana katika kila hali...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Wadau, Nimekuwa natatizwa muda mrefu sana juu ya suala la mapenzi kati ya binadamu na wanyama wengine. Kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua wanyama karibia wote katika niliowafanyia utafiti...
1 Reactions
30 Replies
46K Views
Habarini wanajamvi, Mimi siyo mwenyeji sana katika jukwaa hili la mapenzi ila nimeona niwasaidie wanaume wenzangu uzoefu kidogo ambao utarejesha heshima za ndoa /mahusiano yao. Kwanza kabisa...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Kama picha inavyo onekana....!! Njoo Tuzungumzie Hili Swala kwa kina
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanawake wengi kulongana na maisha yao machafu kama kusagana, kufanywa bila hisia au na watu wasio waonea hisia. Studies zinaonesha kuwa huwenda wakawa na matatizo ya kisaikologia, hali ambayo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwamba.... Mwanamke kwa siku hutongozwa na Wanaume 3 Mwanamke kwa wiki hutongozwa na Wanaume 21 Mwanamke kwa mwezi hutongozwa na Wanaume 84 Mwanamke kwa mwaka hutongozwa na Wanaume 1008 Kati ya...
11 Reactions
62 Replies
9K Views
Habari, Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo...
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Habari wana jamii, Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takribani miaka 5 iliyopita. Tumebahatika kupata watoto wawili tayari na Mungu ametujalia kuwa na kazi halali zinazotuingizia kipato. Aidha...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
Habarini Wadau, Ninaamini mahali hapa ni mahali pazuri sana pa kupata ushauri utakaosaidia kukuza uelewa. Kuna hali ya utofauti wa kimtazamo katika labda niseme races au jamii mbalimbali hususan...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Hi, habari zenu, please understand, lugha ni ngumu kwangu lakini kuna swali ningependa kuwauliza. Mambo ya udini huwa ngumu kwangu yaani tangu nikiwa mtoto hata kumwaminia Mungu hakikukuwa kitu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom