Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Leo katika pita pita zangu nikaamua kupumzika mahala fulani. Pembezoni kidogo kulikuwa na binti mrembo ametulia. Mara akaja mama mmoja ambae hawajaonana mda mrefu, yule mama...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu, naomba tuelimishane suala hili, Hivi ni haki kwa mke kuingia na kuleta vurugu ndani ya ofisi ambamo mme wake anafanyia kazi? Sasa, leo nimeshangaa sana. Kuna ofisi moja nimetembelea...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Sasahivi wanaume tunaheshmiwa kinoma ahsante mh. Maana mabinti walikuwa wanazarau sana. 9t njema.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za wakati wanaMMU, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, siyo maneno yangu ila nimekutana na mijadala kadha wa kadha kuhusiana na hili jambo nikaona si vibaya tukalijadili hili na hatimaye...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nina mchumba ambae kiukweli moyo wangu umezia kumuoa, sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko Kanda ya ziwa, alifika mwanza usiku wa nikamshauri aende kwa rafiki yangu hapo...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimefikishwa mbele ya mahakama za gachacha na mwanamama mmoja akinituhumu kumpiga na hivyo mimba yake kutoka. Ilikuwa hivi, Mlalamikaji: bwana betlehem kanipiga na kusababisha mimba yangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais Mteule Trump amteua Gen James Mattis kuwa Waziri wa Ulinzi kuna msemo usemao wanaume wengi wenye akili nyingi na wanaofanyaga makubwa huwa wanakwepa sana kuoa.. je hii ina ukweli?? nimesoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl...
5 Reactions
103 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama mada inavyo sema uliza swali lolote kuhusu mke wako mpenzi wako au chochote kile nikupe ushauri wa moja kwa moja.
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona Habari,nilitoa uzi huu ,asanteni sana kwa ushauri wenu,kweli tulipata wakati mgumu sana pa kuanzia kwasababu wangejisikia vibaya sana kuwaona...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari JF, Jamani si uchoyo wala roho mbaya, ila kwa wale wanaokaa na ndugu mnaweza nielewa. Leo mdogo wa mke wangu kanikera sana.. Ana kama siku tatu hivi tangu atoke kijijini. Nimenunua mkate...
16 Reactions
203 Replies
16K Views
Habari za muda huu wapendwa..... Niende moja kwa moja kwenye mjadala..... Kila mmoja anafahamu anavyoitumia simu yake ya mkononi....iwe kwa mabaya au kwa mazuri anajua mwenyewe....lakini pindi...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake saba (sio mfululizo) wenye majina ya Naima. Ukilinganisha na majina mengine, wanawake wenye hili jina hawajanipa usumbufu kabisa kuwapata. Nilipokuwa na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Waungwana mwenzenu napata mfadhaiko kabisa. Dhambi ninayofundishwa ni mbaya ma moyo wangu na akili vinachanganyikiwa. Ni wazi nahitaji msaada wa kisaikolojia,msaada huu nitaomba kwa yule aliye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari Jf Nimeishi maeneo ya kambi za wavuvi katika ziwa Victoria kwa muda mrefu nikifanya biasha ya kuuza dagaa baada ya kumaliza O-level. Kwa ujinga au kiburi cha pesa nilikuwa nikibadiri...
6 Reactions
35 Replies
8K Views
Hizi kesi nishashuhudia Mara nyingi Sana, mdada kaumizwa moyo wee mwisho wa siku anaona ajitulize zake kwa mzee apoze maumivu bila kujali ana Familia ama hapana. Kwanza hata akikupa mimba na...
5 Reactions
150 Replies
13K Views
Hilo neno kama nimelikosea nipo tayari kukosolewa, naomba msaada wa maana yake! Maana huwa nalisikia tu hata humu JF.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa The Boss. Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake...
38 Reactions
1K Replies
73K Views
Back
Top Bottom