Kumbe wasichana ndivyo mlivyo!

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
937
817
Nina mchumba ambae kiukweli moyo wangu umezia kumuoa, sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko Kanda ya ziwa, alifika mwanza usiku wa nikamshauri aende kwa rafiki yangu hapo Mwanza alale kesho yake aendelee na safari.

Hapo kwa rafiki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafiki yangu japo sio kivile, sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafiki yangu na wakalala pale, kesho yake mke wa rafiki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka.

Kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu, akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu. Sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoea yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba, nilimjibu we acha anisadie matumizi, nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea.

Basi mchumba akawa ananipa taarifa maendeleo mala oo kaninunulia kifurushi, mara leo katuma elfu 10 hapo nikaanza kishtuka wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomaliza ilibdi niende pale kwa rafki yangu hapo sasa yule jamaa akanipa simu yake iikuwa ina tatizo kidogo nimrekebishie, loo! Ghafla nikaingia kwenye sms, sikuamini macho yangu yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko ninazoambiwa, kamnunulia hadi smart phone.

Kituko kilikuja nilipomstopisha mawasiliano na yule jamaa aliniambia si ulisema akusaidie matumizi.

Ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi, anakupiga changa la macho tu.
 
nna mchumba ambae kiukweli moyo wangu umelizia kumuoa.sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko kanda ya ziwa.alifika mwanza usiku wa nikamshauli aende kwa rafki yangu hapo mza alale kesho yake aendelee na safari

hapo kwa rafki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafki yangu japo sio kivile. sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafki yangu na wakalala pale.kesho yake mke wa rafki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka

kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu...akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu...

sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoe yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba...nilimjibu we acha anisadie matumizi ...nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea

basi mchumba akawa ananipa ttatifa maendeleo mala oo kaninunulia kifulushi...mara leo katuma elfu 10 ...hapo nikaanza kishtuka...wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomalza ilibdi niende pale kwa rafki yangu ....hapo sasa yule jamaa akanipa xm yake iikuwa ina tazo kidogo nimlekebishie...loo gafla nikaingia kwenye sms...sikuamini macho yangu...yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko nazoambiwa...kamnunulia hadi smart phone .

kituko kilikuja nilipomsitopisha mawasiliano na yule jamaa....aliniambia si ulisema akusaidie matumizi!

ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi....anakupiga changa la macho tu
Mmmhh..ukiona manyoya ujue kashaliwa! By way kuna bandiko lako humu lenye lalamiko kuwa mama mkwe wako mtarajiwa hakutaki. Hivyo mwachie tu huyo dogo atakuwa amekubalika machoni mwa Ex wako na mama yake
 
ni kweli m
Mmmhh..ukiona manyoya ujue kashaliwa! By way kuna bandiko lako humu lenye lalamiko kuwa mama mkwe wako mtarajiwa hakutaki. Hivyo mwachie tu huyo dogo atakuwa amekubalika machoni mwa Ex wako na mama yake hahaaa mkuu uko makini
kuu naona unafatilia sana....na
 
Ngoja nikupe somo mdogo wangu

wanawake wanaweza kukuteka ukafikiri umepata kumbe anakuona ndondocha. kuna kipindi nakua nlishakua na huyo demu mara aseme wanaume wanamtongoza sana, mimi sipendi mapenzi, mara muziki kucheza sitaki, mara mi sitakagi kutoa namba za simu kwa watu ili mradi umuone msafi na tena huyo keshakuzidi maarifa cha maana icho ulichokipata kiwe msingi maana unaenda kukutana na mengi zaidi uendapo mbele
 
Mkuu ulipenda kitonga sio????? Ndo madhara ya slope hayo yaan unataka wenzio wa hudumie wewe upo tuu...!!!
 
nna mchumba ambae kiukweli moyo wangu umelizia kumuoa.sasa kuna wakati alikuwa akitoka chuo anaelekea nyumbani huko kanda ya ziwa.alifika mwanza usiku wa nikamshauli aende kwa rafki yangu hapo mza alale kesho yake aendelee na safari

hapo kwa rafki yangu kuna kijana wa mwenye nyumba ambae pia ni kama rafki yangu japo sio kivile. sasa mchumba wangu alipokelewa na mke wa rafki yangu na wakalala pale.kesho yake mke wa rafki yangu alimsihi abaki pale hivyo hakuondoka

kijana wa mwenye nyumba akatambulishwa kuwa huyu ni mchumba wa wa fulani yani jina langu...akachangamka akapewa no ya simu na mchumba wangu...

sasa ili kuuwa soo mchumba wangu alinipigia simu akaniambia jamaa huwa wanawasiliana nae ila akasema mazoe yamezidi na eti hamuelewi kwani huwa anamtumia vocha sana bila hata kumuomba...nilimjibu we acha anisadie matumizi ...nilisema hivyo nikiamini kuwa kwa kuwa ameniambia basi hakuna kitakachotokea

basi mchumba akawa ananipa ttatifa maendeleo mala oo kaninunulia kifulushi...mara leo katuma elfu 10 ...hapo nikaanza kishtuka...wakati huo nilikuwa niko chuoni so nilipomalza ilibdi niende pale kwa rafki yangu ....hapo sasa yule jamaa akanipa xm yake iikuwa ina tazo kidogo nimlekebishie...loo gafla nikaingia kwenye sms...sikuamini macho yangu...yani kuna pesa zinatumwa nyingi kuliko nazoambiwa...kamnunulia hadi smart phone .

kituko kilikuja nilipomsitopisha mawasiliano na yule jamaa....aliniambia si ulisema akusaidie matumizi!

ujumbe wangu kwa wanaume mchumba wako akikuambia kuna mtu ananitaka usizani hampendi....anakupiga changa la macho tu
Kwa uandishi huu lazima usaidiwe aisee!
 
Back
Top Bottom