1.Baby,nimepitia leo mliman city kuna wigi nimeliona nikalipenda,linauzwa laki mbili tu,me hapa nina elfu 50,afu nadhani nikilivaa siku ya sikukuu litanipendeza sana-Anita wa Tegeta.
2.Bae kodi ya...
Kila nikisikiliza nakutafakari wimbo wa Bahati Bukuku Dunia haina huruma nashindwa kupata jibu nani alisitahili msamaha kati mke na mume.
Tujadili wote.
Habari wana Jf, natumai wote tu wazima na tunaendelea kupambana..
Kama swali linavyouliza hapo juu tupeane uzoefu ama ujasiri kuhusu hili swala la kwenda kupima na mwenzi wako na kupewa majibu...
Wadau wa mmu kwanza nawatakia Dominica njema,
Naomba sasa niende moja kwa moja kwenye topic, sijui hili swala ni la kimungu zaidi au kisayansi mimi nachanganyikiwa na nimekosa majibu imebidi...
Pokeeni salamu zangu,
Kati ya maswali ambayo yananiacha bila majibu ni kusikia mwanamke kabakwa na mwanaume, tena mwnaume mwenyewe ni mmoja hii kitu huwa hainiingii akirini kabisa mwanaume mmoja...
Hivi pale wanaume wnapo ngangana kutafta mwanamke mwenye umbo zuri wanakuwa wanamanisha nini?.
mwanaume anakutokea kisha anasema nimeoenda umbo lako hivi unategemea ilo umbo ndo litakupatia mke...
Habari za jumapili
Kwa wale wenye mademu wengi zaidi ya watano halafu hutaki kugonganisha fanya hivi. Kama ukiwa na demu wako ndani halafu mtata anataka kukakua simu yako au akae nayo kuangalia...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali.
Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji...
Habarini wanaJF na wazazi pia walezi kwa ujumla.
Napenda kuwakumbusha kuwa katabia ka baadhi ya wazazi au walezi kulala kitanda kimoja na watoto wadogo (sio kufanya nao mapenzi) huku wao kama...
Habari wanaMMU.
Bila hata kuchoshana naenda kwenye mada tajwa.
Kutokana na hali ya mfumo wa maisha kutazamwa na watu wenye akili tofauti nakuona kila kitu wanaweza kufanya, kuna mambo ambayo...
Wana jamvi.
Zipo ndoa za aina nyingi ila commonly ni,
1. Ndoa za kikristo
Hapa mtu mume huoa mke mmoja tu kisheria na mlango hufungwa kwa wanandoa kufaidiana peke yao. Hapa kama hukuwahi kuutumia...
Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati?
Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na...
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa huwa sielewi ama sijajua makuwadi (Wa kike na wa kiume) huwa wanafaidika nini kwa kufanya ukuwadi wao? Na mtizamo wa wanawake au wanaume kwa makuwadi ukoje?
Kuna mmama kijana ana shepu la haja sio mchina, niliingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi ya siri siri bila watu wengi kujua maana nilikuwa nakutana nae usiku alafu juu kwa juu, nimetokea...
Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi..
Ungejua Kazi...
Habari za kazi wana JF,
Leo katika pilika zangu za ujenzi wa taifa kama mwl. Mkuu nikapita ofisini kwa walimu wenzangu kuwasabahi kama ilivyo dada.
Mwl mmoja akasema mkuu unaonaje kabla ya...
Habarini wakuu!
Katika mambo muhimu katika mashindano yoyote Yale, yawe Mapigano ya kwenye majukwaa yaani Masumbwi au Riadha, Pumzi ni jambo la muhimu sana licha ya mbinu zingine kutumika.
Moja...
Ushawahi kubadilishana line yako ya simu na ya mpenzi wako?
Nini kilitokea?
Je, uliexpirience michepuko mingapi inayomsumbua?
Au ulijikuta ni njiakuu kwake?
Hivi wanawake wenzangu, huwa mnatumia mbinu gani ili muweze kuhongwa na wanaume? Kwani hata sijui nitumie maneno gani ili niweze kupata pesa kutoka kwao.
Wengine wanajikausha tu hadi mtu unaaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.