Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

If you thought virginity was only an issue in Tanzania, you thought wrong my friend. Natalie Dylan, a 22 years old (in 2008) put her virginity up for sale at moonlite bunnyranch website, to...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nina rafiki yangu wa kike mzuri kweli ni mtu ambae kweli naappreciate urafiki wake japo ana mapungufu yake kama mimi ila am confortable kusettle nae kama rafiki ana mpenzi wake ambae anafanana...
3 Reactions
70 Replies
8K Views
Bandugu mwenye huo wimbo naomba autupiee, sikumbuki jina la yule jamaa alioimba.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nisaidieni wataalamu, Hii ni siku ya tatu toka mtoto huyu azaliwe na nywele za kiarabu, leo kaja mama mkwe wamemnyoa kabla ya siku saba, nipo kimya muda wote kwa kuwa mke wangu ni mfanyakazi...
7 Reactions
157 Replies
21K Views
Nyimbo za singeli zimekuwa zikipendwa sana na vijana. Hasa vijana wanaotoka mazingira ya Hali ya chini & ya kimasikini. Ukiangalia jinsi ambavyo hizi nyimbo huchezwa na mitindo yake unagundua...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Nimekaa na mahusiano na mpenzi wangu mpaka sasa ni miezi mitano Ila nimejaribu kumwambia muda wetu wa kukaa pamoja Mimi na yeye Tufunge ndoa yetu ila majibu ambayo amenipa nisubiri baada ya...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee. Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu...
8 Reactions
219 Replies
16K Views
Habari za jioni leo kwa mara ya kwanza kufika dar maeneo ya mbezi mwisho. siku mbili tatu hivi nilikuwa katika kulishangaa jiji la makonda nikakutana na hili. Nikiwa naenda ya town kama...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
asalam aleikhum, wakuu mara nyingi nimeona watu mbali mbali watuma post za kutafuta wenza wa maisha kupitia love connect pia na declare nilishajaribu kutafuta pia. Nilichokigundua ni kuwa wengi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza Mkristu na anaemuogopa Mungu Ila...
12 Reactions
142 Replies
13K Views
UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILI... Uko na mpenzi wako lakini akili yako inawaza mambo Mengine kabisaa, Mwanamke ili aweze kuwa tayari katika tendo la ndoa inambidi Mwanaume...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zawadi gani simple nzur nitampa mpenz wangu kwenye harusi yangu, nimefikir nimechoka..na siku zimebaki tatu... Hali ya kiuchumi ni yakimagufuli tuu..
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini Wakuu nina vimiezi kadhaa nipo kazini ila nakumbana na vijachangamoto vidogo vinavyohitaji kua na msaidizi wa ndani, mbaya zaidi bado sijaoa ndo kwanza naongeza kipato changu mke baadae...
6 Reactions
84 Replies
13K Views
Naitwa john Rusaku Nina miaka 27, Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Habari wana JF? Bila shaka wazima. Kijana wenu/mwenzenu nina tatizo moja sielewi nini cha kufanya Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja tulipendana sana na bado nampenda sana na yeye namsifu anajua...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Jana nimesafiri toka Dar to Aarusha,robo tatu ya safari yangu nilikua nimelaliwa na mdada mmoja hvi ambae tulikua seat moja, bahati nzuri alikua mrembo hivyo sikuona hatari sana,lakin hii sio mara...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari Wakuu.. Natarajia kuoa na kufanya Harusi mwezi huu wa December.. Kutokana na Gharama na hali Halisi kifedha Kwa wengi (hakuna dili siku Hizi) mass wedding zingesaidia wengi! Yaani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jumapili wapendwa...... Bila ya shaka kwa rehema za muumba sote tu wazima wa afya....na wale ambao afya zao zina mtikisiko Mungu bwana wa majeshi yupo upande wenu katika kipindi hiko...
17 Reactions
34 Replies
9K Views
Sijajua ni kwamba ni roho mbaya au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke,sipendi mwanamke aniombe hela, yaani kama nina mwanamke halafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na nakuwa...
5 Reactions
108 Replies
8K Views
Ni mwanamke mrembo mwenye sura na umbo la kuvutia ambaye uko kwenye umri wa miaka 30 hivi au zaidi na hujaolewa na huna mpenzi wa kudumu. Uko kwenye sherehe fulani ya chakula cha usiku, yaweza...
16 Reactions
118 Replies
16K Views
Back
Top Bottom