Kuwa na bahati na jina fulani

Kuwa na bahati na jina fulani

Sonko Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
806
Reaction score
320
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake saba (sio mfululizo) wenye majina ya Naima.

Ukilinganisha na majina mengine, wanawake wenye hili jina hawajanipa usumbufu kabisa kuwapata.

Nilipokuwa na mahusiano na wanawake wenye majina tofauti, wakati tunazungumza imetokea mara nyingi nawaita hilo jina (bila kutegemea) na kusababisha kutokuelewana.

Je, kuna kitu gani kati yangu na hili jina? Au maana yake ni nini?
 
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake saba (sio mfululizo) wenye majina ya Naima. Mimi ni mkristo.

Ukilinganisha na majina mengine, wanawake wenye hili jina hawajanipa usumbufu kabisa kuwapata.

Nilipokuwa na mahusiano na wanawake wenye majina tofauti, wakati tunazungumza imetokea mara nyingi nawaita hilo jina (bila kutegemea) na kusababisha kutokuelewana.

Je, kuna kitu gani kati yangu na hili jina? Au maana yake ni nini?
Mimi majina ya neema yaani naelewana nao sana
 
Mada yako INA kaukweli ndani yakee ,sitaki kutoa mfano.
 
Mkuu yaani hii mada yako imenigusa moja kwa moja.
Kwangu jina la bahati ni ROSE, nikimtokea mwanamke anayeitwa ROSE, shughuli inakuwa easy kuliko mategemeo.
Karibu nusu ya wanawake niliowadate wanaitwa ROSE, hata manzi wa kwanza aliitwa ROSE.

Kuna ROSE mwingine hapa JF?🙁🙁🙁🙁
 
kuna connection na jina lako
Rashid na Ashura

We unaitwa Imani?
 
Mkuu yaani hii mada yako imenigusa moja kwa moja.
Kwangu jina la bahati ni ROSE, nikimtokea mwanamke anayeitwa ROSE, shughuli inakuwa easy kuliko mategemeo.
Karibu nusu ya wanawake niliowadate wanaitwa ROSE, hata manzi wa kwanza aliitwa ROSE.

Kuna ROSE mwingine hapa JF?🙁🙁🙁🙁
Mmh!
 
Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake saba (sio mfululizo) wenye majina ya Naima.

Ukilinganisha na majina mengine, wanawake wenye hili jina hawajanipa usumbufu kabisa kuwapata.

Nilipokuwa na mahusiano na wanawake wenye majina tofauti, wakati tunazungumza imetokea mara nyingi nawaita hilo jina (bila kutegemea) na kusababisha kutokuelewana.

Je, kuna kitu gani kati yangu na hili jina? Au maana yake ni nini?
Jaribu na hili CHIKIRA 😀
 
Kuna ukweli fulani, hata mimi majina yanayoanzia na herufi.....
 
Back
Top Bottom