Habarini wakuu
kama mada inavyojieleza,
ni dhahiri kunawatu hua wanapenda wakute mpenzi aliekamilika kwenye mapenzi anajua kila kitu au wengine hua wanapenda awe na mtu ambaye hajui chochote ila...
Wakuu,
Naanza kuelewa sasa ni kwa nini viongozi mbalimbali wanaposafiri huwa wanaambatana na wenza wao.
Hali ya kuwa mbali na mpenz imekuwa ikinipa wakati mgumu sana hususani ninapokuwa niko...
Habarini wanaMMU na wazazi pia walezi kwa ujumla.
Napenda kuwakumbusha kuwa katabia ka baadhi ya wazazi au walezi kulala kitanda kimoja na watoto wadogo (sio kufanya nao mapenzi) huku wao kama...
Wakuu naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu kwamba Mwanaume/Mvulana anapoenda na mchumba wake wa kike kumtambulisha kwao hasa mikoa ya mbali je wakifika kwao na mwanaume wakati wa kulala huyo...
Hayo ni maneno ya siri za wanaume nilopewa na babu yangu siku nilipo mpelekea mashuka 2 kijijini kwake.
Anasema mwanamke anayechepuka mwili wake hupoteza uwezo wa kujipiga picha na kuzihamishia...
Baada ya kujiwekea malengo yangu flani na kuweka mapenzi pembeni
sasa nataka niingie katika mahusiano rasmi.
Msiniulize huyo mwanaume nitampata wapi naombeni ushauri wa ukweli jinsi ya kuishi na...
Nawauliza wanaume wenzangu maana huwa nasikiasikia tu,kuwa mtu kamfumania malkia wake live akitoa lile tunda, lakini wameyamaliza kiutu uzima! Hivi kweli au...Naomba nijue mapema ili namie nikioa...
Changamoto katika maisha ya ndoa.
Ni miaka minne sasa imepita katika ndoa na huu tunaufukuzia wa tano. Ninao watoto watatu wakiwa wawili wa kike na mmoja wa kiume.
Tabia ya Mke wangu ya ukali...
najua kama binadamu uliyekamilika ni lazima umewahi kukutana na mtu mahali popote na ukajikuta unampenda kupita kiasi..zijue sababu
1.MWONEKANO
kwa wanawake huvutiwa na u handsome na...
Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao*
Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa *kuvumiliana* katika changamoto hizo. Kuna changamoto za...
Habari wanajamvi?
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mitafaruku mingi ktk mahusiano. Ndoa nyingi na mahusiano mengi ya kimapenzi yanalegalega. Hakuna tena kumianiana kati ya mwanamke na mwanaume...
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy...
Hii kitu nimejiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu!
Ni andiko gani lililosema kuwa wanandoa ni lazima ndoa gani zikabarikiwe na viongozi wa kiroho?
Ukisoma Maandiko katika
Mathayo 18:20 neno...
Ni binti nliempenda nae akanipenda toka tukia kidato cha 6 yeye akiwa cha 5, 2014. Nlimweka wazi kua ngependa awe wife wangu baadae lakini nlimsihi sitaweza vunja amri ya 6 mpaka nimuoe japo yeye...
Ni maisha niliyochagua, nataka niishi hivyoo.
Baada ya msichana wangu kugoma kuzaa bila kuoana, sasa nimeamua kuachana na suala linaloitwa ndoa. Ni Mkataba wa miaka 3.
Nataka mwanamke wa kuzaa...
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa kinavyo jieleza,hiko hvi kwanza mm nikijana msomi,very handsome then Nina baati ya kuwa na mahusiano na wasichana wazuri.
In fact tatizo langu ni kwamba kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.