Habarini wanajamvi,
Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu, wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu.
Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendewa na wasichana wa kazi, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.
Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.
Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.
Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.
Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!