Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,564
Nimefikishwa mbele ya mahakama za gachacha na mwanamama mmoja akinituhumu kumpiga na hivyo mimba yake kutoka. Ilikuwa hivi,
Mlalamikaji: bwana betlehem kanipiga na kusababisha mimba yangu kutoka.
Hakimu; betlehem, ni kweli umefanya kosa hilo?
Mimi; hapana si kweli mheshmiwa,
hakimu; muulize maswali mlalamikaji,
mimi; ilikuwaje mpaka nikakupiga na unanihusishaje na mimba yako?
mlalamikaji; umenitoa mimba yangu na nataka unilipe sh. 600,000
mimi; sasa kama ishu ni mimba, kwa nini nikupe hela badala ya kukupa mimba nyingine?
hakimu; Mlalamikiwa umeonekana una hatia na nakuamuru kumpa mimba nyingine mlalamikaji.
muda huu ndio nimetoka kutekeleza hukumu hiyo. Weekend njema wakuu!