Kila kitu ambacho ni halisi kinawezekana. Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu namna kutojiamini kwetu kunavyojengwa. Kwa kuwa tunajua chanzo, ni rahisi kupata tiba.
Njia zifuatazo zinaweza...
Christian girl age U24 to marry, regardless tribal, race, height, and location but slim and committed.
don't PM just text via 0783 745 260.
I am 27 slightly black and slim tall, lives and working...
Wakuu, hili sasa ni janga, kama sio balaa!
Huyu binti tumekua katika mahusiano mwaka wa tatu sasa, katika kipindi chote cha uhusiano, amekua akipata ujauzito na matokeo yake yamekua hayaonekani...
Hello, habari zenu wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikua na mchumba angu (sio mpenzi na hatukuwahi kukutana kimwili) ambaye tumedumu kwa miaka miwili, hatukuwahi kugombana wala...
Wasaalam waungwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Mimi nina marafiki zangu huwa nawashangaa wanapo niambia ebwana mwakani lazima nioe but infact at that time hana mchumba,hili...
*Tujifunze kusema "ahsante"*
Maana hapo ulipo si kwa ujanja wako bali Muumba wako. Pia kile ulichonacho "Uhai" sio chako bali umeazimwa. Wakumbuke ndugu na rafiki waliosaidiana na wewe kama...
Alikuwa akisafiri kwenye barabara kuu akiwa juu ya pikipiki yake. Alikuwa akiendesha kwa wastani wa kilimeta 65 kwa saa.
Jambo lenyewe lilitokea ghafla sana. Aligeuka kutazama pembeni mwa...
Wakuu sijui kama uzi huu umewahi kutolewa. Mara kadhaa naulizwa ushauri, inapotokea kijana wa kiume anataka kuoa kati ya msichana mrembo mwenye umbo la kuvutia sana, yaani ukitoka naye kila...
Wana jamiiforum naomba mnishauri sijui na tatizo gani.
Mimi naishi na bro wangu, ana mke na mtoto wa miaka 2 na wadada wa kazi wawili. Yaani muda wote nikiwa nyumbani sina raha kabisa, yani...
Wakuu
Kama post inavyojieleza, nadhani imeshawatokea wengi sana kushindwa kuelezea feelings/hisia na kutumia sana neno "YAANI" wishing that msikilizaji hata aingie kichwani mwako ajue...
Nina umri wa miaka 31,natafuta mwanake wa kujenga familia kama mke na mme.sifa awe na umri Kuanzia miaka 22_28,awe mrefu,mcha Mungu pia awe na uhitaji was kuolewa.
Alie tayari anichek pm.
Become a CCTV camera installer/Technician just by attending this short course provided by Dsat Technology.
Hello!
This is the event that i have been telling you about,it is near to start...
saizi tupo kwenye karne ya ushindani wa hali ya juu sana na kila mtu anataka kujiona ni mjanja sana kuliko mwenzake.
mm kuna mwanamke nina uhisiano naye kama miezi 2 hivi lakini ktk huu uhusiano...
[SIZE=3]Nimekaa nimewaza sana jinsi ya kumpata wa kuyajenga nae maisha na mengineo nikaona hapa ndo mahali pake,
Haya ni PM basi uje tuyajenge wote pengine tunaeza endana tukafikia lengo.
Habari za mchana wana jf
Tarehe 19/11/2016, siku ya Jumamosi kulikuwa na mahafali ya chuo kikuu flani (jina linahifadhiwa). Nilifanikiwa kufika chuoni hapo kusherehekea na mdogo wangu. Sherehe...
Wasalam ndugu,
Jamani hizi tabia za wasichana sometimes influence inatoka kwa mzazi mshikaji wangu ni victim wa hili suala, ana date na msichana mwaka wa tatu sasa hivi ikafika point mshikaji aka...
BY CAPITAL LIFESTYLE
It’s no secret that men will avoid using the word “marriage” in any conversation at all costs. Men go to great lengths to avoid mistakenly leading his committed or casual...
Wadau wa jukwaa hili napenda kujua machache kwa wale waliopata wenza wao kupitia jukwaa hili!
Ulimpata ambaye alikidhi vigezo vyako vyote au uliamua kukubaliana kwa kuwa ameonesha nia?
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.