tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Waungwana mwenzenu napata mfadhaiko kabisa. Dhambi ninayofundishwa ni mbaya ma moyo wangu na akili vinachanganyikiwa.
Ni wazi nahitaji msaada wa kisaikolojia,msaada huu nitaomba kwa yule aliye tayari ani-PM ili tuwasiliane please.
Warning; wadada acheni kuwadanganya wenzenu Mungu atawahukumu sana.Kumbe ninyi ndo chanzo.
Masikini huyu mtoto kadanganywa sana.
Mungu nisamehe.
Wadada ndo wanishauri ktk hali hii.