Life time Bachelor... (trump amteua mmojawapo waziri wake)

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,852
6,208
Rais Mteule Trump amteua Gen James Mattis kuwa Waziri wa Ulinzi

kuna msemo usemao wanaume wengi wenye akili nyingi na wanaofanyaga makubwa huwa wanakwepa sana kuoa.. je hii ina ukweli??

nimesoma cv ya waziri wa kwanza kuteuliwa na trump... Mad Dog mattis.. hajawai kuoa ila balaa lake kwenye mbinu za kivita ni hatari...


huwa najiuliza kwa nini sana watu wengi vichwa wanashindwa ishi na wanawake???

huwa hawaoi au wanachelewa sana kuoa...

na wanaowai wengi wao ndoaa zinavunjika...

historia fupi

Mattis is a graduate of the U.S. Marine Corps Amphibious Warfare School, U.S. Marine Corps Command and Staff College, and the National War College. Mattis is also noted for his intellectualism and interest in military history,[11]with a personal library that once included over 7,000 volumes,[1] and a penchant for publishing required reading lists for Marines under his command.[55][56] Mattis is a life-long bachelor,[57]who has never been married and has no children.[1] He is nicknamed "The Warrior Monk" because of his bachelor life, and the fact he devoted his life to studying and fighting war.[58]He is known for the intellectual rigor he puts on his Marines and his belief in risk-management, and in the need for troops under his command to read widely about the cultural norms and history of the area they are sent to, as he himself does. Before deploying to Iraq, Mattis ensured his troops were given courses on Arab culture and cultural sensitivity classes.[21]
 
Kama kuna kitu unataka kukifanikisha, fanya hivyo kabla ya kuoa.
Ni wanawake wachache unaoweza kuoa na kubakia kwenye form.
 
His weakness ni mwanamke... If he's really strong aoeee...walikuwepo kina Samson bwana..and there was Delilah Hehehe...
 
Fact is MWANAMKE NDIYE KIBOKO YAKE!
NA MIAKILI YAKE YOOOOOOOOTE!
hapa pamemshinda!
hata Madiba alikuwa na akiiiiiliiii ,ila katika eneo aliwahi mpka kukiri kuwa eneo la ndoa yeye hakuwahi wala hajawahi kuwa mume sahihi kwa wake zake!
 
wanawake huwa tupo sensitive sana so tunaweza kukwambia usifanye hiki na kukupa riski nyingi ila ukiwa peke yako unajitoa muhanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom