Enyi wanawake, hebu tuweni wastaarabu!

kwetumasoko

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
866
510
Wakuu, naomba tuelimishane suala hili,

Hivi ni haki kwa mke kuingia na kuleta vurugu ndani ya ofisi ambamo mme wake anafanyia kazi?

Sasa, leo nimeshangaa sana. Kuna ofisi moja nimetembelea, nilichokutana nacho ni balaa. Mke kamfuata Bwana ofisini kwake kisha kuleta vurugu kubwa sana akidai amepelekewa taarifa na watu ya kwamba kuna mfanyakazi wa kike ofisini pale ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mme wake.

Alichokifanya ni kumrarua makofi binti huyo ambaye ameelekezwa na kuanza kuongea maneno ya hovyo hovyo kuhusu mume wake na kusababisha kazi za kiofisi na utoaji huduma zisimame kwa muda wa kama nusu saa hivi kutokana na taharuki hiyo.

Nilivyomuona mume alikuwa mpole sana pia hakuthubutu kuongea jambo lolote, na kisha huyo mkewe akaondoka baada ya kuona taarifa imepelekwa Polisi.
 
Siku zote sifa ya mwanaume anayejielewa ni kunyamaza na kuwa mpole,sio kugombana na kujibizana na kina mama
 
Sidhani kama kuna cha kushangaza hapo...

"katika kila Watanzania wanne, mmoja ni kichaa "

So inawezekana kabisa mke wa huyo jamaa anaangukia kwenye hilo kundi la vichaa.
 
Ila dalili za watu hawa huwa tunaziona hata kabla ya ndoa ila tunajidanganya ni upepo ukishamuoa atabadilika.

Yani kitu kidogo anakifanya kesi kubwaaa...we have seen them na bado tukawaoa, tusishangae wakiendeleza libeneke ndani ya nyumba!
 
Yaani tunazidi kujishushia heshima wanawake hajui anachokifanya si kumdharirisha mme tu na yy pia anajiaibisha.
Hayo mambo watu huwa wanayaongea nyumbani kwa ustaarabu na chakula kitamu na mziki juu... Kwa kufanya hivyo anadhani uyo mme atakua na mapenzi tena Tatizo jingine hatujiamini umesikia mmeo anachepuka dili na mmeo ndo anakuhusu je km uyo kaka anao miche zaidi ya 2 akisikia atawafata na hao apigane nao. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwnyw. Ila kuna wanaume wastaarabu maana angejibishana nae tu mambo yangekua mengine..
Wanawake tutimize wajibu wetu tuwajali tuwasikilize hawa watu tutaishi kwa amani yani kila siku sisi tu tunajiabisha.
 
Wakuu, naomba tuelimishane suala hili,

Hivi ni haki kwa mke kuingia na kuleta vurugu ndani ya ofisi ambamo mme wake anafanyia kazi?

Sasa, leo nimeshangaa sana. Kuna ofisi moja nimetembelea, nilichokutana nacho ni balaa. Mke kamfuata Bwana ofisini kwake kisha kuleta vurugu kubwa sana akidai amepelekewa taarifa na watu ya kwamba kuna mfanyakazi wa kike ofisini pale ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mme wake.

Alichokifanya ni kumrarua makofi binti huyo ambaye ameelekezwa na kuanza kuongea maneno ya hovyo hovyo kuhusu mume wake na kusababisha kazi za kiofisi na utoaji huduma zisimame kwa muda wa kama nusu saa hivi kutokana na taharuki hiyo.

Nilivyomuona mume alikuwa mpole sana pia hakuthubutu kuongea jambo lolote, na kisha huyo mkewe akaondoka baada ya kuona taarifa imepelekwa Polisi.
Huna akili.
Muulize adam au samson.
Achilia mbali hao roho ziliongamia ndan ya titanic.
Sembuse hako kaofis ka kichina na tualuminium twa elfu 80. Na ka a/c ka kwa majembe.
UNYAMAZE USIZUNGUMZE MAPENZ UKALINGANISHA NA UPUUZ MWINGNE.
 
Yaani tunazidi kujishushia heshima wanawake hajui anachokifanya si kumdharirisha mme tu na yy pia anajiaibisha.
Hayo mambo watu huwa wanayaongea nyumbani kwa ustaarabu na chakula kitamu na mziki juu... Kwa kufanya hivyo anadhani uyo mme atakua na mapenzi tena Tatizo jingine hatujiamini umesikia mmeo anachepuka dili na mmeo ndo anakuhusu je km uyo kaka anao miche zaidi ya 2 akisikia atawafata na hao apigane nao. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwnyw. Ila kuna wanaume wastaarabu maana angejibishana nae tu mambo yangekua mengine..
Wanawake tutimize wajibu wetu tuwajali tuwasikilize hawa watu tutaishi kwa amani yani kila siku sisi tu tunajiabisha.
Wish wange kuelewa
 
Siku zote sifa ya mwanaume anayejielewa ni kunyamaza na kuwa mpole,sio kugombana na kujibizana na kina mama
Ni kweli mkuu, maana pale jamaa hakuthubutu kuongea hata neno moja isipokuwa mkewe alikuwa anaongea huyo ni balaa, kama kameza moto!
 
Sidhani kama kuna cha kushangaza hapo...

"katika kila Watanzania wanne, mmoja ni kichaa "

So inawezekana kabisa mke wa huyo jamaa anaangukia kwenye hilo kundi la vichaa.
Naomba nirekebishe, kila penye wanawake wanne, mmoja ni kichaa!
 
Yaani tunazidi kujishushia heshima wanawake hajui anachokifanya si kumdharirisha mme tu na yy pia anajiaibisha.
Hayo mambo watu huwa wanayaongea nyumbani kwa ustaarabu na chakula kitamu na mziki juu... Kwa kufanya hivyo anadhani uyo mme atakua na mapenzi tena Tatizo jingine hatujiamini umesikia mmeo anachepuka dili na mmeo ndo anakuhusu je km uyo kaka anao miche zaidi ya 2 akisikia atawafata na hao apigane nao. Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwnyw. Ila kuna wanaume wastaarabu maana angejibishana nae tu mambo yangekua mengine..
Wanawake tutimize wajibu wetu tuwajali tuwasikilize hawa watu tutaishi kwa amani yani kila siku sisi tu tunajiabisha.
Hiyo imekaa njema, wenye masikio na wasikie!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom