Omba ushauri wowote kwangu kuhusu mpenzi wako

Omba ushauri wowote kwangu kuhusu mpenzi wako

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,589
Kama mada inavyo sema uliza swali lolote kuhusu mke wako mpenzi wako au chochote kile nikupe ushauri wa moja kwa moja.
 
kama mwanume anacheat mfano ni namna gani ya kumwambia.. jirani yangu hapa anauliza
 
Mimi n mpenzi wangu mahusiano kama yamekufa tu ni kwamba hatujawekana wazi, mawasiliano ni ya kulazimisha, je nini cha kufanya ili ku revive tena penzi letu?
 
Mapenzi ni chombo cha moto, yanahitaji leseni kama vile kuendesha ndege na magari. Tatizo hayana user manual au user guide kuwasaidia watumiaji.
 
Kama mada inavyo sema uliza swali lolote kuhusu mke wako mpenzi wako au chochote kile nikupe ushauri wa moja kwa moja.

mpenzi hataki kujaribu threesome je nikichepuka nje nakufanya threesome itakuwa poa au nitumie mbinu gani mpenzi aingie kwenye line ya kufanya threesome
 
mpenzi hataki kujaribu threesome je nikichepuka nje nakufanya threesome itakuwa poa au nitumie mbinu gani mpenzi aingie kwenye line ya kufanya threesome
haana mzabzab usichepuke je umejaribu kuwa huru kumueleza mwenzio kuhusu juu yako ya threesome?
 
haana mzabzab usichepuke je umejaribu kuwa huru kumueleza mwenzio kuhusu juu yako ya threesome?

ndio nilishamueleza na kusema kabisa mie sioi mpaka niwe nilishajumuika nae kwenye 3some
 
mpenzi hataki kujaribu threesome je nikichepuka nje nakufanya threesome itakuwa poa au nitumie mbinu gani mpenzi aingie kwenye line ya kufanya threesome
Weye hiyo threesome ni culture yenu au unaangalia phonograph unafikiri kila kitu ni cha kujaribisha
 
Mpenzi ni wangu mimi halafu ushauri nije kuomba kwako. Kama sikuomba ushauri kwako wakati tunatongozana mpk tunakubaliana nawezaje kuja kuomba ushauri kwako?
Chukua jembe ukalime. Acha hiyo "janja janja".
 
Back
Top Bottom