Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeishi dar kwa kipindi cha miaka mitano na katika miaka hiyo mitano nimeishi sehemu mbalimbali nimeishi maisha ya kijijini kabsa kwa wakulima kigamboni maeneno ya Ngeza vilevile nimeishi...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nadhani kila mmoja anatamani kuja kua na mume/mke au mpenzi bora kulingana na vigezo vyake. Na ili lifanikiwe tunamuhusisha Mungu, sasa kuna siku tulikua tunapiga story na marafiki zangu kuhusu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Watu wanajiita wanandoa lkn kila mtu ana mambo yake. Mke kutwa kwenye mitandao akichat na mabwana, hali kadhalika mume kutwa anachati na mademu. kwann mliingia kwenye ndoa? Mko kwenye ndoa lkn...
9 Reactions
50 Replies
6K Views
Amekutext Inbox[emoji392] Ukamuuliza we nani? Akaujibu jina[emoji64] Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?[emoji19] Akakujibu, nimepata kwa group[emoji4] Ukachukulia poa tu[emoji57] Amekuomba...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
#JamboLEO Bibi harusi afa kwenye ajali ya helikopta akienda kanisani, alitaka kumshangaza bwana harusi na waalikwa .
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Bandugu mi tatizo langu nikiwa nachat na msichana kuhusu mambo ya mapenzi au kuongea nae kwa simu uume husimama sana hata kama niko barabarani, kibaruani au kwenye daladala na hutoa ile mucus...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu. Nina date mume wa mtu na nampenda sana. Yan mwanaume akija kunitongoza...
2 Reactions
131 Replies
14K Views
Mfalme alisimama mbele ya watu wake na kuelezea jinsi utabiri ulivyo kwenye utawala wa Basambilo. Aliwaeleza kuwa nyota ya mashariki itang’aa sana kwa kipindi hiki cha miaka 100 ndipo utawala wa...
0 Reactions
130 Replies
18K Views
Watu wa saikolojia njooni hapa,watu wa lishe,watu wa tiba na watu wa ndondi vilevile. Mimi nina tatizo na waswahili kama kawaida yao hawakosi misemo,wanasema 'mficha gegedo hatii mimba' Inshu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu ma bibi na mabwana, Hii imekuwa ikinichanganya kidogo kwa muda mrefu, naombeni kujuzwa huenda labda kutokana na uelewa wangu mdogo, au kwa vile nimezaliwa shamba na kukulia...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kipindi hiko ndo naanza maisha ya kujitegemea, nikapanga nyumba flani' uswazi, nilimkuta mama mwenye nyumba, binti yake aliyepo kidato cha tatu(kipindi hiko binti wa kidato cha tatu mkubwa sio...
1 Reactions
79 Replies
6K Views
Wana jamvi tumebakisha Sikh kadhaa kuuaga mwaka 2016. Ikiwa una jambo la firaha au huzuni lililokufika 2016 tuwekee hapa. Liwe la kwako binafsi. 1).05/04/2016 nimepata mtoto wa pili wa kuime hadi...
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Hali imekuwa tete kwa dada zetu. Baadae wataanza kututongoza kwa nguvu. Km hali yenyewe ndo hii!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji... Sio mtu...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nataka nijue niache au bado bado[emoji18]
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, natumai ni Wazima Mimi ni kijana nimeamua kujitokeza kutafuta mchumba ili badae aje kuwa mke, mwenye upendo wa dhati Sifa zangu -dini yangu muislam -umri Miaka 30 - Kazi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Utaonekanaje kumwambia rafiki yako siri zako na yeye anakuficha siri zake huyo ni rafiki au adui???
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Hi guys There's this girl my wife's younger sister who is still in campus, whom i have always respected as my shemeji But her recent behavior towards me has caught my attention, she used to ask...
3 Reactions
121 Replies
21K Views
Utafiti wa Repoa unaonesha asilimia 30 ya wanawake takribani 1300 nchini wanaona ni halali kupigwa na waume zao endapo wanaondoka nyumbani bila kuaga au kuwaacha watoto nyumbani peke yao. Halafu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI:: Mwanaume: sister mambo Sister: mambo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…