Mshebebe ndio kipimo cha Upendo

Mshebebe ndio kipimo cha Upendo

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,753
Amani iwe kwenu ma bibi na mabwana,

Hii imekuwa ikinichanganya kidogo kwa muda mrefu, naombeni kujuzwa huenda labda kutokana na uelewa wangu mdogo, au kwa vile nimezaliwa shamba na kukulia shamba.

Waungwana ili ujue kuwa huyu mtu anakupenda na yeye ajue kuwa unampenda ni lazima Mvuliane nguo? kuna watu ni wasomi tu na wanaheshimika wanadai kuwa mshebebe ndio kipimo cha upendo.

karibuni
 
Sasa unampa namba ya nini kama hutaki afunge?
 
Kwani mtu anapenda mara ngapi maishani?

Na mtu anashiriki tendo na wangapi katika maisha yake?
 
Kwani mtu anapenda mara ngapi maishani?

Na mtu anashiriki tendo na wangapi katika maisha yake?
Kupenda hakuna mwisho, ni kama njaa tu, ukipata msosi unasahau, ukienda toilet unataman msosi mwingine tena.

Its on going process, ni ruksa tu, endelea kupenda mpaka ufe!
 
S
Kupenda hakuna mwisho, ni kama njaa tu, ukipata msosi unasahau, ukienda toilet unataman msosi mwingine tena.

Its on going process, ni ruksa tu, endelea kupenda mpaka ufe!
seriously..? Hebu jaribu kutofautisha kupenda na kutamani..
 
Wengi hawatokuelewa hapa,
It means..
Unampa mchezaji namba ya kuingia uwanjani, ikiwa hutaki afunge goli....
Bora umuweke benchi tu...
If Am not Mistaken
Kweli,kheri ubaki bench ujue
mechi sio yako...
 
Sasa ww utataka uwe na mtu bila kupeana mambo?!

Kukazaba ni tendo muhimu sn
 
S

seriously..? Hebu jaribu kutofautisha kupenda na kutamani..
Kuna utepe mdogo sana unaotenganisha vitu hivi viwili. Ni kama asali na sukari ladha ni ile ile ila tofaut ni outlook.

Kutamani ndo kupenda na kupenda ni matokeo ya kutamani.
 
Wengine wanaogopa kufanya mapenzi sababu anaona aibu kuvua nguo zote utamchungulia.
Utoto raha sana[emoji1] [emoji1]
 
Mkuu mshebebe ndio kila kitu....full stop
 
Wengi hawatokuelewa hapa,
It means..
Unampa mchezaji namba ya kuingia uwanjani, ikiwa hutaki afunge goli....
Bora umuweke benchi tu...
If Am not Mistaken
Semegi wewe ndio umefanya nielewe, sikumuelewa nilipomsoma.
 
Mmmmmm hamna unaeza mvulia na asikupende maana ingekua kuvuliana ndo kupendwa mahusiano wasingekua na migogoro
 
Back
Top Bottom