Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kiukweli nimechoka na upweke na upweke unaniumiza sana,nipo hapa kutafuta mke awe mwenza wangu wa maisha mimi ni mwanaume wa miaka 48-55 mwanamke mwenye nia thabiti na mwenye ukweli karibu sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi swala mpenzi wako kukuomba aondoke na nguo yako ya ndani .ni uzungu?.mapenzi au ushirikina? .Mimi niimemwambia ashidwe na alegee
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Juzi kati nilisafiri kutoka Dar kuja Tanga. Kando yangu kiti kingine, alikaa baba mtu mzima mtanashati. Kidogo akaja binti/mwanamama wa umri wa kijana---25-30's. Kufika Kibaha Mailimoja, mwanaume...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu ndani...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba kuwasilisha hili: watu walio wengi hupenda kupewa ushauri na ndugu jamaa na mrafika na Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza kuishia kwenye ukomo huo wa fikra na kuamini juu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari zenu wadau, Nina jambo nahitaji ushauri tafadhali. Nina mtoto wa miaka 5 lakini hatukubahatika kuoana na baba mtoto, tabia zilinishinda kila mtu akaenda njia yake. kwa kipindi ambacho...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
habarini za kazi wakuu? mimi ni kijana umri wangu miaka 26, nilikua nafanya kazi katika moja ya mahoteli makubwa hapa mjini na kwa sasa kiukweli hali ya uchumu imeyumba kiasi kwamba biashara...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Riwaya-duka la roho
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Kwa kawaida mama wakwe wanachukuliwa kuwa na utofauti mkubwa utakuta wengine wana upendo anaweza kukufanya kama motto wake na wengine wanakuwa kinyume kabisa wanaweza kusho sumu ya ndoa yako...
8 Reactions
46 Replies
11K Views
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakuu, Wakati wa ujana ulimuona akipenda weupe, mixture msambwanda mixture figa namba nane mara mguu wa bia mara mwanya mara chuchu konzi mara hips ooh mwendo wa twiga kiportable mara papuchi...
15 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari zenu, Nimejitokeza hapa kuomba ushauri wenu sababu naamini hapa kuna watu, wazima na wenye upeo zaidi yangu. Mwaka 2012 nilimuoa binti mmoja kutoka Kigoma tukabahatika kupata mtoto wa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam sana waungwana.. Last weekend nilipelekwa na mwenzangu ukweni kutambulishwa kua Mimi ndio Yule niliyesubiriwa kuvika pete chanda chema. At first tuliongea Mimi na mwenzi wangu juu ya...
1 Reactions
69 Replies
9K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HII NI FAMILIA YA ZIONA MWENYE WAKE 39 NA WATOTO 94 WAJUKUU 33.. HII NDO NYUMBA YA ZIONA ANAYOISHI NA FAMILIA HII HAO NI WAKE ZAKE 39 MR ZIONA KUTOKA CHINA HAPA NDIPO WANAPOLALA FAMILIA...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Back
Top Bottom