Kwa Dada Zangu Na Mama Zangu

Kwa Dada Zangu Na Mama Zangu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,271
Reaction score
29,937
Amekutext Inbox[emoji392]

Ukamuuliza we nani?

Akaujibu jina[emoji64]

Ukamuuliza umepata wapi namba yangu?[emoji19]

Akakujibu, nimepata kwa group[emoji4]

Ukachukulia poa tu[emoji57]

Amekuomba urafiki facebook[emoji185]

Umeangalia picha zake[emoji71]

Anaendesha Range[emoji593]

Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo

Umemkubalia urafiki[emoji186]

Amekutumia text inbox[emoji395]

Umemjibu[emoji393]

Amekuomba out[emoji127]

Mkapanga kuonana[emoji1]

Ukajikwatua mwenyewe[emoji39]

Ukajipulizia na marashi ya kunukia vyema[emoji257]

Ukaweka na make-up na weave mpya.[emoji168][emoji151]

Akakuchukua kwa ajili ya lunch[emoji493][emoji510] kwa hotel[emoji544]

Akakuagizia na soft drinks[emoji484][emoji483]

Mkawa na muda mzuri pamoja[emoji1][emoji28]

Akakushika mkono[emoji108]

Akakufanya uwe unacheka[emoji38] muda wote kwa vituko vyake

Ukampenda[emoji7]

Ikawa kama umemjua kwa miaka[emoji4]

Akakuchukua kwenda kwake[emoji537]

Akaweka mazingira ya wewe kujisikia upo kwako kwa kukuruhusu ulale kitandani kwake

Akakubusu kimahaba[emoji8]

Ukapenda jinsi alivyo romantic, nguvu na ujasiri

Ukajisikia secure ukiwa nae[emoji3]

Ukajua kuwa unachoenda kufanya sio sahihi lakini ukajisikia poa tu

Ukamwambia atumie kinga, akakuambia it's too late.[emoji41]

Ukamkubalia na hukutaka kumsumbua.[emoji45]

Akakuambia anakupenda na hukusita kumwambia unampenda pia.[emoji6][emoji8]

Baada ya kumaliza akafungua friji na kukunywesha maji ya kunywa. Ukajihisi hapa mume nimepata

Ukajihisi ni mwanamke special[emoji136]

Atakuwa ndio yeye uliyekuwa ukimuota siku zote.[emoji126]

Ukavua nguo[emoji160]

Mkafanya[emoji131]

Ukavaa nguo.[emoji156]

Akakuchukua mpaka sehemu zinakopaki taxi[emoji594]

Akakubusu katika shavu.[emoji8][emoji38]

Nimekuwa na muda mzuri na wewe akakueleza.[emoji136][emoji136]‍♂

Akakupa Tsh 100,000[emoji385][emoji384][emoji386][emoji386].

Ukatabasamu[emoji4] na kumwambia nitakuona kesho.

Akabaki kimya. Taxi uliyopanda ikaondoka.[emoji596]

Ndani ya taxi hukuacha kutabasamu[emoji4]

Ukafika nyumbani kwenu na kumwandikia text watsapp kwamba umefika salama.[emoji16]

Yupo online lakini hakujibu text yako

Ukaamua kumtext tena, hakujibu!

Dakika chache baadae humuoni watsapp unaona kivuli tu. AMEKUBLOCK!![emoji276]

Siku, wiki, miezi ikapita ukaanza kujisikia homa homa[emoji25], mchovu[emoji21], uzito umepungua na utando mdomoni[emoji36]

Ukaenda kituo cha afya

Ukapima[emoji382]

Nusu saa baadae daktari anaingia.[emoji60]

Pole sana dada yangu daktari anakuambia.[emoji45]

Una maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ni mjamzito vile vile[emoji17].

Mimba, HIV+????[emoji15]

HOW??[emoji102]

Hauelewi[emoji37]

Inakuumiza sana[emoji30], hauamini.[emoji32]

Unaenda nyumbani.[emoji536]

Ukiwa na hofu kubwa.[emoji27]

Unaona kifo hichi hapa

Unatazama angani, na unauona mwisho wako huu hapa. Unajuta kumuamini mtu kirahisi hivyo.[emoji45]

DADA ZANGU NA MAMA ZANGU MSIWE KAMA HUYU, ISHI VIZURI, ACHA KUTAMANI MATERIAL THINGS. KUWA MWANAMKE AMBAE UNAMSIMAMO

ISHI MAISHA YANAYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU PEKEE NA SIO BINADAMU.

SIJAKATAZA MSIAMINI WACHUMBA WA FACEBOOK na WHATSAPP ila Biblia inasema (msiamin kila roho ila zichunguzen hizo roho kama zimetokana na Mungu). Mke + mme mwema anatoka kwa Bwana
 
Back
Top Bottom