HII NI KAWAIDA KWELI.?

HII NI KAWAIDA KWELI.?

Joined
Dec 4, 2016
Posts
62
Reaction score
54
Bandugu mi tatizo langu nikiwa nachat na msichana kuhusu mambo ya mapenzi au kuongea nae kwa simu uume husimama sana hata kama niko barabarani, kibaruani au kwenye daladala na hutoa ile mucus flani (precum), kwa uzoefu wenu je hili ni kawaida au ni tatizo.
NB: nimewahi kuwa mpiga punyeto ingawa sijapiga tena kwa miezi kdhaa sasa, umri miaka 24.
 
kawaida bwana wala usipate shida ata mie inanitokeaga...hiyo inaonyesha upo fit kinoma ukipata papuchi utaigegeda vilivyo
 
Hilo tatizo nilikuw nalo ila liliisha nilipoacha ujinga,kama unataka liishe acha ujinga
 
Back
Top Bottom