Dar es Salaam siyo sehemu sahihi yakulelea wanaume

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
Nimeishi dar kwa kipindi cha miaka mitano na katika miaka hiyo mitano nimeishi sehemu mbalimbali nimeishi maisha ya kijijini kabsa kwa wakulima kigamboni maeneno ya Ngeza vilevile nimeishi uswahili kabsa mkwajuni, magomeni na jagwani.
Nimefanya kazi kariakoo kwa kipindi Cha miaka mitatu kwa hiyo na kariakoo nimeishi.

Nimejaribu kuoanisha maisha ya manaume wa dar na sehemu nyingine nimeona dar siyo sehemu sahihi kabsa yakulelea watoto wakiume.

Moja ya sababu zinazofanya niamini hilo njisi wanavyoishi.

Moja dar ina wanaume wengi sana walio katika umri mkubwa ambao hawajaoa
Tatizo hilo lakutokuoa limelifanyia uchunguzi nakubaini kuwa hawana nguvu sawa zakiume
Kutokana na ulaji wa chakula,,

Vyakula wanavyokula havisitahili kuliwa na mwanaume mzima
Hili sijajua kuwa linasababishwa na nini? Sijui hawana vyakula vyakutosha ndio maana wanakula kindogo ili kwenda na bajeti. Kwa kweli hapo sijajua hadi leo.

Wanaume wa dar wamehalibiwa na makahaba yanajiuza, jambo linalowafanya kufanya mapezi ambayo yanalaana kubwa kwa Mungu.

Nimesema siyo sehemu sahihi yakuleea watoto wakiume kwa sababu ina athari kubwa sana katika maswala ya uzaliano katika dunia hii.
 
Hao wanaume wanajiendekeza tu wenyewe.... Kwani mkuu nawewe umeathirika baada ya kuishi huko? .......ukisha jitambua wewe ni mtoto wa kiume kinacho kufanya uishi ki kike kike ni nini kama sio mifumo wanayo jiwekea wenyewe ya kijinga jinga.
 
Nimeishi dar kwa kipindi cha miaka mitano na katika miaka hiyo mitano nimeishi sehemu mbalimbali nimeishi maisha ya kijijini kabsa kwa wakulima kigamboni maeneno ya Ngeza vilevile nimeishi uswahili kabsa mkwajuni, magomeni na jagwani.
Nimefanya kazi kariakoo kwa kipindi Cha miaka mitatu kwa hiyo na kariakoo nimeishi.

Nimejaribu kuoanisha maisha ya manaume wa dar na sehemu nyingine nimeona dar siyo sehemu sahihi kabsa yakulelea watoto wakiume.

Moja ya sababu zinazofanya niamini hilo njisi wanavyoishi.

Moja dar ina wanaume wengi sana walio katika umri mkubwa ambao hawajaoa
Tatizo hilo lakutokuoa limelifanyia uchunguzi nakubaini kuwa hawana nguvu sawa zakiume
Kutokana na ulaji wa chakula,,

Vyakula wanavyokula havisitahili kuliwa na mwanaume mzima
Hili sijajua kuwa linasababishwa na nini? Sijui hawana vyakula vyakutosha ndio maana wanakula kindogo ili kwenda na bajeti. Kwa kweli hapo sijajua hadi leo.

Wanaume wa dar wamehalibiwa na makahaba yanajiuza, jambo linalowafanya kufanya mapezi ambayo yanalaana kubwa kwa Mungu.

Nimesema siyo sehemu sahihi yakuleea watoto wakiume kwa sababu ina athari kubwa sana katika maswala ya uzaliano katika dunia hii.
Baada ya uchunguzi wako huu sasa boss unaweza kumuacha mkeo alale na mwanaume wa Dar japo kwa usiku mmoja tu na hautakuwa na wasiwasi wala wivu?
 
Wanaume wa Dar tena, haya bwana mkuje huku basi kuna mtu kaaanzisha vita baridi
 
Wanaume wa dar mwaka 2016 hatutousahau kwa sababu ya kushambuliwa sana.
 
Kwa hiyo Sasa hivi umerudi mkoani???? Wakuja ndo mnauharibu huu mji

Tatizo halikimbiwi kijana...maswala ya upungufu wa nguvu za kiume yapo popote pale.... inategemea Na namna unavyomlea mtoto wako. Ukiacha Dunia ikusaidie kulea utaambulia mabua
 
sa mbona nimelelewa dar n asiko hivyop...inategemea umelelewa vipi na wapi na maisha gani.....
 
Nimeishi dar kwa kipindi cha miaka mitano na katika miaka hiyo mitano nimeishi sehemu mbalimbali nimeishi maisha ya kijijini kabsa kwa wakulima kigamboni maeneno ya Ngeza vilevile nimeishi uswahili kabsa mkwajuni, magomeni na jagwani.
Nimefanya kazi kariakoo kwa kipindi Cha miaka mitatu kwa hiyo na kariakoo nimeishi.

Nimejaribu kuoanisha maisha ya manaume wa dar na sehemu nyingine nimeona dar siyo sehemu sahihi kabsa yakulelea watoto wakiume.

Moja ya sababu zinazofanya niamini hilo njisi wanavyoishi.

Moja dar ina wanaume wengi sana walio katika umri mkubwa ambao hawajaoa
Tatizo hilo lakutokuoa limelifanyia uchunguzi nakubaini kuwa hawana nguvu sawa zakiume
Kutokana na ulaji wa chakula,,

Vyakula wanavyokula havisitahili kuliwa na mwanaume mzima
Hili sijajua kuwa linasababishwa na nini? Sijui hawana vyakula vyakutosha ndio maana wanakula kindogo ili kwenda na bajeti. Kwa kweli hapo sijajua hadi leo.

Wanaume wa dar wamehalibiwa na makahaba yanajiuza, jambo linalowafanya kufanya mapezi ambayo yanalaana kubwa kwa Mungu.

Nimesema siyo sehemu sahihi yakuleea watoto wakiume kwa sababu ina athari kubwa sana katika maswala ya uzaliano katika dunia hii.

Kwa mwandiko huu na ukiulizwa jinsia unajibu wewe ni mwanaume?
 
Halafu kuna kitu najiuliza kuhusu hawa ndugu zetu wa bandar salama, wote wamevimba mbele na nyuma, si wanawake wala wanaume, si tajiri wala masikini , sijui ni nini chanzo cha maradhi haya!!!.
 
Mbona viongozi wote wapo dar ila sijawahi kusikia wamekuwa machok
 
Dar ni ya hovyo hovyo, watu waliokulia huko wana mitazamo/style flani ya kimaisha ambayo ukimuacha mwanao akaichukua bhasi usimtegemee kuja kuwa mpambanaji au kiongozi mwenye kujali watu ama mwenzi mwema kwa baadae. Yaani Dar ni kama BABELI/SODOMA NA GOMORA maana hata wafiraji,wafirwaji au wasapoti ushoga wengi wako Dar au wametokea Dar na kusambaa mikoani. Hata wakazi wake wanaoonekana kwenda kusali kanisani hawana tofauti kubwa na wapagani waishio mikoani. Dar ni ya hovyo mno.
 
Back
Top Bottom