Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwamuda wa mwaka mmoja sasa...Toka umeingia kwenye uhusiano tuliwekeana mikakati ya kuimarisha mahusiano yetu , na tulijitahid kukutana na kukaa mahali...
Habari ndugu zangu, pole kwa majukumu ya kila siku,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27, ninatafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano kwa lengo kuja kuishi nae pamoja awe na umri wa...
Moja kati ya makanisa niliyosali, lilikuwa na sheria kali hasa hasa mabinti na vijana wa kiume...yaani ilifikia mahali hata kusimama na binti na kijana ilikuwa kazi.
Nilibahatika kuwa katibu wa...
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Wanajamvi,
Nina tatizo moja ambalo linanisumbua sana. Nimewahi kuwa na ex-girlfriends wawili kabla ya kuwa na huyu girl friend wangu niliye naye sasa hivi.
Cha ajabu ni kuwa, ikitokea Siku...
Wanawake hawa nipitapo barabarani,ama kwenye daladala au sehemu zozote zenye mkusanyiko wa watu.
Siwaoni...wamekuwa adimu sana
Wakuu mtupiamo picha za watu wa dizaini hii walau tufaidi...
Habari ya jioni wapendwa......
Ni matumaini yangu Hamjambo humu ndani, Mimi ninaitwa Nzory Mussa kutoka Tanga Tanzania...
Nimeingia hapa kwa lengo la kutafuta MARAFIKI ambao tutakuwa...
Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba wangu mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au...
Uzi huu nimeuweka pia kwenye jukwaa la sheria, Ila kwa kuwa naamini katika jukwaa hili lazima atakuwepo aliyekutana na jambo ninalokumbana sasa, hivyo nahitaji msaada kwa mzoefu yeyeto.
Ndoa yangu...
Naomba wenye experience na hii kitu mlioko katika relationship ama ndoa naona kunakuaga na feelings flani amazing sana especially unapoimba na mwenza wako, haswa nyimbo ya kupokezana. Naona kama...
ULIMI, ni kiungo katika miili ya wanyama na ndege, kwa binadamu ulimi mbali na kazi zingine kama kuonja ladha pia humwezesha kutamka maneno au kuimba nyimbo.
Ulimi una madhara makubwa sanaaa...
Habari wandugu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nna kaka yangu hapa jijini Dar es salaam anaejishuhulisha na shuhuli za ujasiriamali na kwa ujumla zinamuingizia kipato kikubwa tu.
Miaka kama...
Habari wana jamii, Ni takribani miaka miwili imepita tangu nimeolewa na tuna mtoto mmoja. Mume wangu huyu alifiwa na mke wake wa kwanza miaka mitano iliyopita na akamwachia watoto wawili ambao...
BY CAPITAL LIFESTYLE ·
Women are as diverse as they come hence they all come in different packages-it’s no secret. I will therefore delve straight into the different types of women that we have...
Habari wanajamvi?
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la kujisifia kula 0713. Ukisoma thread nyingi sana zinazohusu mahusiano lazima utasikia tu nakulaga siku moja au vinginevyo...
Habari ndugu zangu,
Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu...
lala salama..
matatizo chuki lawama..
matatizo chuki lawama..
ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu
uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.