Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamvi nadhani hamujambo na familia zenu. Ama wenzangu niko na mke toka mwaka 2007 hakuna asiejua kua mahusiano nayo huchakaa kama nguo hasa mukishapata watoto. Baada ya kuzaaa watoto...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Hello JF, Rafiki nipo hapa aged 30, jinsia (Me), muajiriwa/mjasiliamali. Napenda movies, kusafiri, kuogelea, kutizama mpira(Man Utd), na vengine vingi. Kama unahitaji rafiki, karibu tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Haina impact kwenye relation yetu japo inanitesa kiakili, sipendi aendelee na utumiaji wa Marijuana. Anadai ni sigara kama zilivyo sigara nyingine. Apendi nikiwa nae niizungumzie Ganja, anadai...
3 Reactions
78 Replies
8K Views
Wadau wa MMU, Kuna mdada fulani hivi nimeanza ku date naye yeye anakaribia 30's na mimi nipo 27 hivi... Sasa Tuko vizuri wote na game ni tamu Kweli Kweli nashawishika kutangaza nia huko mbeleni...
1 Reactions
109 Replies
8K Views
Hawa binadamu wanaenda chooni kama sisi, wanahitaji kula kama sisi, wanaumwa na kwenda Hospitali kama sisi: Kwanini mwanaume uhonge nyumba, gari au kulipia tendo la ngono (ambayo ndio tofauti...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
WanaJf naombeni ushauri nile vyakula gani ili kuimarisha kumbukumbu ?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habarini za usiku,nilikua naomba msaada kidogo,ni sehemu gani kwa hapa dar ni nzuri "for having a date with a woman",neither cheap nor expensive,just middle class and romanting kwa hapa dar ?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana usiku nilirudi home mapema. kilichonifanya nirudi home nilipewa kilo 2 na nusu za nyama iitwayo MATIKO. sasa kwa bashasha nikampa huyu nimpendaye aiandae ile nyama maana ni laini kama ini...
8 Reactions
133 Replies
12K Views
Katika kitu ambacho niliki note siku ya maazimisho ya miaka 55 ya uhuru ni speed ,power ,performance, accuracy na ukomavu mwili wa yule komando mtu mzima kidogo mwenye kitambi !! Ama kweli...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nilianza kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook toka mwaka 2010 mpaka sasa bado naitumia sana. Lakini kinachoninyima Uhuru in Baada ya Mama yangu kujiunga na mitandao hii kama...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kumekuwa na desturi ya wanawake na wasichana wengi hasa wa kiafrica siku za hivi karibuni kuwa na tabia ya kusingizia kuumizwa kabla kuwa kama chachu ya kuwapelekea na wao kuwa na moyo mgumu wa...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Tusipoangalia vizuri tunapoteza nguvu kazi kwa kasi ya hawa vijana kuiga mwishowe wanageuka mashoga kwa kuiga utamaduni wa kimarekani. Hivi kijana mzima hajishughulishi akiamka asubuhi chai kwa...
6 Reactions
76 Replies
11K Views
Kitaalamu, tatizo hili ujulikana kama GYNECOMASTIA nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu kwenye titi tishu iyo inajulikana kama GLANDULAR TISSUE. #Pure glandular gynecomastia-huonekana zaidi...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Wakuu habari za sikukuu na long weekend! kwa kifupi nlishaleta malalamiko mengi kuhusu huyu mwanaume wangu, tukiwa na maelewano wiki moja ni nyingi sana yan after 2days kupotezeana kugombana for...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ya mchana wadau. Ni mara nyingine tena naingia kwenye njia panda sababu ya dada yule dada alienikataa siku si nyingi. Niliomba ushauri hapa hapa jf na niliuzingatia kwa kweli, ila...
1 Reactions
91 Replies
10K Views
Hello LoveConnect Members! Jaman mimi kijana nina miaka 27 ninajishugulisha na biashara natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18-26. Awe na mapenz ya kweli PM kama uko interested
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Habarini ndugu zangu. Poleni na hongereni kwa mapambano ya kuzisaka Seenti. Kuna binti mmoja wa chuo kutokea pwani ni mpenzi au mchumba wa jamaa yangu ya karibu. Kitu kinachoshangaza ni kuwa...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki...
4 Reactions
121 Replies
11K Views
Pendekeza jina. Atakae zoa nyingi mshindi. Sianzi mimi, sitakuwa biassed ila ninaweza taja hapo baadae. Kwanini ni muhimu? Tumpongeze na tumshukuru kwa mchango wake hapa. Unaruhusiwa kujitaja...
0 Reactions
115 Replies
7K Views
Back
Top Bottom