Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa nikivutiwa sana kuwa na mume wa mtu kuliko wale ambao hawajaoa. Hata ambao wananitongoza wengi ni waume za watu. Nina date mume wa mtu na nampenda sana. Yan mwanaume akija kunitongoza...
2 Reactions
131 Replies
14K Views
Mfalme alisimama mbele ya watu wake na kuelezea jinsi utabiri ulivyo kwenye utawala wa Basambilo. Aliwaeleza kuwa nyota ya mashariki itang’aa sana kwa kipindi hiki cha miaka 100 ndipo utawala wa...
0 Reactions
130 Replies
18K Views
Watu wa saikolojia njooni hapa,watu wa lishe,watu wa tiba na watu wa ndondi vilevile. Mimi nina tatizo na waswahili kama kawaida yao hawakosi misemo,wanasema 'mficha gegedo hatii mimba' Inshu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu ma bibi na mabwana, Hii imekuwa ikinichanganya kidogo kwa muda mrefu, naombeni kujuzwa huenda labda kutokana na uelewa wangu mdogo, au kwa vile nimezaliwa shamba na kukulia...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kipindi hiko ndo naanza maisha ya kujitegemea, nikapanga nyumba flani' uswazi, nilimkuta mama mwenye nyumba, binti yake aliyepo kidato cha tatu(kipindi hiko binti wa kidato cha tatu mkubwa sio...
1 Reactions
79 Replies
6K Views
Wana jamvi tumebakisha Sikh kadhaa kuuaga mwaka 2016. Ikiwa una jambo la firaha au huzuni lililokufika 2016 tuwekee hapa. Liwe la kwako binafsi. 1).05/04/2016 nimepata mtoto wa pili wa kuime hadi...
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Hali imekuwa tete kwa dada zetu. Baadae wataanza kututongoza kwa nguvu. Km hali yenyewe ndo hii!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji... Sio mtu...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nataka nijue niache au bado bado[emoji18]
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, natumai ni Wazima Mimi ni kijana nimeamua kujitokeza kutafuta mchumba ili badae aje kuwa mke, mwenye upendo wa dhati Sifa zangu -dini yangu muislam -umri Miaka 30 - Kazi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Utaonekanaje kumwambia rafiki yako siri zako na yeye anakuficha siri zake huyo ni rafiki au adui???
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Hi guys There's this girl my wife's younger sister who is still in campus, whom i have always respected as my shemeji But her recent behavior towards me has caught my attention, she used to ask...
3 Reactions
121 Replies
21K Views
Utafiti wa Repoa unaonesha asilimia 30 ya wanawake takribani 1300 nchini wanaona ni halali kupigwa na waume zao endapo wanaondoka nyumbani bila kuaga au kuwaacha watoto nyumbani peke yao. Halafu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI:: Mwanaume: sister mambo Sister: mambo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi sio shabiki wa timu yoyote ya mpira ila nazijua kanuni za mpira wa miguu, kwamba timu yoyote ambayo haina beki imara bila kujali ina washambuliaji wazuri kiasi gani lazima itafugwa tu. Maana...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nije kwenye mada, inawezekanaje mwanamke uliyekua unampenda, unamjali ambaye ulikua unahisi bila yeye maisha yako hayawezi kwenda, anafanya kakosa kidogo badala yakukaa kuongea, basi unaanza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yani ukipita kwenye nyumba za kupanga utakuta chupi za akina dada wamezitundika kwenye Kamba za nje bila aibu, tena wengine wanaweza kuziacha hapo hata siku tatu. Ukienda nyumbani kwa mtu...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Unaweza kuwa kila siku unajiuliza namna ya kujiweka ili uweze kupata mwanaume wa ndoto yako sasa leo kupitia jukwaa hili nakuletea aina za wanawake wanaopendwa na wanaume WANAOJUA MAPENZI...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
habari wana jf nina umri wa miaka 29 natafuta mpenzi nina maisha yangu na kazi yenye kipato cha wastani kwa maelezo zaid tonane pm
1 Reactions
0 Replies
844 Views
hili ni tatizo la kihisia ambalo huwapata watu wenye umri wa kati ya miaka 45-60. watu hawa huishi kwa mashaka, hushuka moyo na hujihisi hatia. hii husababishwa hasa na kutotimiza malengo yao...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Back
Top Bottom