Marafiki wanahitajika

Marafiki wanahitajika

shining star

Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
28
Reaction score
56
Am a girl miaka 25 naishi Arusha.
Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji...

Sio mtu wa starehe bt napenda kuwa happy...n am single too so guys karibuni..who knows🙂
 
am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out ther but sina mwenyeji...

He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........
 
Mmmmh toka nje mshike yoyote mwambie wataka kampani, hawezi kataa
 
He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........

mkuu uko Arusha
 
Uzi kama huu muwe munaatachi na picha, siyo mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia

unataka aweke picha watoto wakalale kwa kuogopa...!!!

ye mwenyewe si unaona kaandika kutwa kucha anajifungia ndani...
 
am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out ther but sina mwenyeji...
Sio mtu wa starehe bt napenda kuwa happy...n am single too so guys karibuni..who knows🙂

Duuuh hii mvua n kaubaridi ngoja ninyuti
 
He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........

Istoshe n haka kamvua cjui nimpe ofa y wine mana inaongeza joto
 
Dr huyu anatega mingo tu...

Raha huwa inatafutwa sio hadi utumiwe kadi ya mwaliko...

He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........
 
Dr huyu anatega mingo tu...

Raha huwa inatafutwa sio hadi utumiwe kadi ya mwaliko...

Ninashanga sana Dr........sijui kwa nini mtu asijipe raha mwenyewe........btw.....w/end yako natumaini imeenda poa..........
 
Iko poa sana dr...ndio inayoyoma hivyo hadi mtu unatamani JK ajisahau atangaze kesho ni sikukuu...
 
Back
Top Bottom