Utaonekanaje kumwambia rafiki yako siri zako na yeye anakuficha siri zake huyo ni rafiki au adui???


Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Messages
9,197
Likes
4,848
Points
280
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2013
9,197 4,848 280
Utaonekanaje kumwambia rafiki yako siri zako na yeye anakuficha siri zake huyo ni rafiki au adui???
Kwani ni lazima wewe kumwambia siri zako?
 
Swtybeib

Swtybeib

Senior Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
187
Likes
178
Points
60
Swtybeib

Swtybeib

Senior Member
Joined Nov 21, 2014
187 178 60
Anaona huna kfua km yako huwez fcha unamsmulia yy iweje zake uweze kufcha anahs utasmulia wengn... HAKUNA SIRI YA WATU WAWIL ,LAKO NI LAKO BAKINALO NA YY ABAKI NA LAKE
 
salthanks

salthanks

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Messages
3,298
Likes
6,741
Points
280
Age
49
salthanks

salthanks

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2016
3,298 6,741 280
Sio adui ameona huwez Kukaa na jambo na ndio maana hata Hilo umekuja kuleta humu
mkuu umetisha Dah!!kweli hana siri maana hata sisi kashaanza kutumbia siri zake
 
mamaafacebook II

mamaafacebook II

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
2,474
Likes
3,385
Points
280
mamaafacebook II

mamaafacebook II

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
2,474 3,385 280
Hakunaga Siri ya watu wawili Siri n jambo u alolijua wewe Na nafsi yako pekee kumshirikisha mwengine so Siri tena Na s lazima ujue Siri zake n maamuzi tu ya mtu
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
2,534
Likes
2,656
Points
280
Age
49
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
2,534 2,656 280
ukiona hivyo unachomwambia ni upuuzi coz sio kila siri usema tu unaoneokana mtoto mbel zake...jifunze kutunza siri
 
akash1555

akash1555

Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
87
Likes
26
Points
25
Age
22
akash1555

akash1555

Member
Joined Nov 19, 2016
87 26 25
ukiona hivyo unachomwambia ni upuuzi coz sio kila siri usema tu unaoneokana mtoto mbel zake...jifunze kutunza siri
Naombeni mnielewe namaanisha siri zangu binafsi na siyo siri za watu baki au za wasanii la
 
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
6,052
Likes
2,916
Points
280
kijani11

kijani11

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
6,052 2,916 280
kwani ni sheria kwamba wewe ukisema naye aseme?!!!
 
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
690
Likes
388
Points
80
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2016
690 388 80
wewe yawezekana unamuamin sana rafik yako, ndo maaana unampa siri zako. lkn ywezekana ye hakuamin au hapend mtu ajue mambo yake. haina haja ya kuachana naye, marafk hawawwz kufanana kila kitu, na nakuambia huo utofauti ndo unatunza urafiki wenu.
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
2,534
Likes
2,656
Points
280
Age
49
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
2,534 2,656 280
Naombeni mnielewe namaanisha siri zangu binafsi na siyo siri za watu baki au za wasanii la
ndo hizo hizo hutakiwi kumwambia siri zako ,ujui rafiki ndo adui namba mmoja ikitokea amekusaliti
 

Forum statistics

Threads 1,272,651
Members 490,095
Posts 30,456,080