Ipi ni njia sahihi???

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
504
Nadhani kila mmoja anatamani kuja kua na mume/mke au mpenzi bora kulingana na vigezo vyake.

Na ili lifanikiwe tunamuhusisha Mungu, sasa kuna siku tulikua tunapiga story na marafiki zangu kuhusu hio topic.

Mmoja akasema ukizidisha sana vigezo katika kuomba kwako unaweza usipate,pengine hakuna mwenye vigezo hivyo vyote au yupo ila ana ubavu mwingine.

Ikabidi me na mwenzangu na mmoja tushtuke kidogo kwanini??? Wakati Mungu husikiliza na kutimiza hitaji la kila kiumbe wake???.

Mwingine akasema katika maombi yako hakikisha unataja vigezo vyako vyote mf unaweza omba upate mwenye pesa,yani wewe kila ukiomba unataka mwenye pesa vigezo vingine huweki,mwisho wa siku unaeza pewa mwenye pesa but ni jambazi au mwenye pesa ila asiyejali au mwenye pesa ila mkorofi(anaepiga ovyo).

Pia kwa ME unaeza omba upate KE mwenye chura bila kuweka vigezo vingine af ukapata mwenye chura ila tabia hovyo, au unaweza omba umpate asieomba pesa af unapata haombi pesa ila anatumia njia flani (kujiuza niseme) kuzipata.

Sasa jamani nauliza wenzangu katika kuomba kwenu hua mnaombaje kupata mtu sahihi??? Nyie mlio katika mahusiano mazuri mmemshirikishaje Mungu wetu huyu.

Vigezo vipi ni muhimu sana katika kuomba (najua kila mtu ana vigezo vyake).

Ila najua ni wengi tu tupo tunaomba bila ya kujua tunataka nini, bila kuweka vipaumbele katika vigezo muhimu.

Nawasilisha.
 
Haina haja ya kuomba, maandiko yanasema "naliwajua tangu tumboni mwa mama zenu".

We subiri tu asipokuja ujue hayupo.
Daaaaaah!!!! kwahiyo kuna watu ambayo hawana ubavu wao wa kushoto.ndo maana watu tunakuwaga cngle mpk bassss
 
Kwenye kuomba kama kwa maana ya dua huwa inatakiwa uombe kupitia maombi ambayo kama unaweza unatumia maneno waliyotumia mitume iliyopita kwa mfano mtume ibrahim(amani iwe juu yake) "ewe bwana mola wangu nipe mimi zawadi ya wake na watoto ambao watakua kitulizo cha macho na utujaalie kuwa wadumisha uchamungu" usiwe una specify vigezo na ukiaangalia hilo ombi hapo kwa jicho makin utaona neno KITULIZO CHA MACHO hapo laiti ungejua ni kwamba umemaliza mwenyezimungu atajua akupe vipi hicho kitulizo cha macho.NA MWENYEZIMUNGU ANAJUA ZAIDI
 
Wengi siku hz hawapati wenza wazuri kwakuwa washakuwa chukizo kwa mungu.

Umeruka ruka wee, umeingiziwa/umeingiza kila aina ya tundu kuanzia mdomoni mpk nisipoweza kutaja halafu leo unataka mume/mke mwema toka kwa mungu? mungu yupi huyo?

Yaani unataka mungu amlete kwako mdada aliyejitunza? aje kwako ww mwanaume mchafu?

au ww dada uliyewahi kulala na wanaume 3 au zaidi kwa mpigo na umetoa mimba mpk mayai yameisha. umemeza madonge ya kuzuia mimba mpk mfuko wa uzazi umeziba, unataka mume mwema?

madaktari washa kuchokonoa na mavyuma mpk k imetepeta, unaka mume toka kwa mungu?
 
Daaaaaah!!!! kwahiyo kuna watu ambayo hawana ubavu wao wa kushoto.ndo maana watu tunakuwaga cngle mpk bassss
Ndoa ni kama mchezo wa soccer, wakati mpira unaendelea kuna ma-reserve wako pembeni wanasikilizia tu in case mmoja akiharibu mwingine anareplace fasta na maisha yanaendelea.
 
Nadhani kila mmoja anatamani kuja kua na mume/mke au mpenzi bora kulingana na vigezo vyake.

Na ili lifanikiwe tunamuhusisha Mungu, sasa kuna siku tulikua tunapiga story na marafiki zangu kuhusu hio topic.

Mmoja akasema ukizidisha sana vigezo katika kuomba kwako unaweza usipate,pengine hakuna mwenye vigezo hivyo vyote au yupo ila ana ubavu mwingine.

Ikabidi me na mwenzangu na mmoja tushtuke kidogo kwanini??? Wakati Mungu husikiliza na kutimiza hitaji la kila kiumbe wake???.

Mwingine akasema katika maombi yako hakikisha unataja vigezo vyako vyote mf unaweza omba upate mwenye pesa,yani wewe kila ukiomba unataka mwenye pesa vigezo vingine huweki,mwisho wa siku unaeza pewa mwenye pesa but ni jambazi au mwenye pesa ila asiyejali au mwenye pesa ila mkorofi(anaepiga ovyo).

Pia kwa ME unaeza omba upate KE mwenye chura bila kuweka vigezo vingine af ukapata mwenye chura ila tabia hovyo, au unaweza omba umpate asieomba pesa af unapata haombi pesa ila anatumia njia flani (kujiuza niseme) kuzipata.

Sasa jamani nauliza wenzangu katika kuomba kwenu hua mnaombaje kupata mtu sahihi??? Nyie mlio katika mahusiano mazuri mmemshirikishaje Mungu wetu huyu.

Vigezo vipi ni muhimu sana katika kuomba (najua kila mtu ana vigezo vyake).

Ila najua ni wengi tu tupo tunaomba bila ya kujua tunataka nini, bila kuweka vipaumbele katika vigezo muhimu.

Nawasilisha.
Ninavyo vigezo vyote!fungua macho tazama ukishaona ndio uanze kuomba
 
Mke au mume bora unatafuta mwenyewe. Mke au mume anatoka kwenye circles zako, watu unao/uliokutana nao kwa vipindi tofauti. Unachotakiwa kujua ni kwamba:
1. Mke au mume bora haokotwi barabarani. He/she should be someone you are familiar with.
2. Angalia mtu mwenye tabia nzuri ambaye umemjua for sometime na kujiridhisha kuwa she can be a good wife/good husband.
3. Mambo ya kuomba aje mtu atakayekufaa ni ya kufikirika. Inatakiwa utafute.
4. Be good and honest you will get a goot patner.
5. Try and evaluate before you make commitment. Jaribu na ukiona hafai piga chini haraka na jaribu mwingine. Kinacho waponza watu wengi ni kuto jaribu au kujaribu na kuamini mtu atabadilika.

Enjoy ur life
 
Wengi siku hz hawapati wenza wazuri kwakuwa washakuwa chukizo kwa mungu.

Umeruka ruka wee, umeingiziwa/umeingiza kila aina ya tundu kuanzia mdomoni mpk nisipoweza kutaja halafu leo unataka mume/mke mwema toka kwa mungu? mungu yupi huyo?

Yaani unataka mungu amlete kwako mdada aliyejitunza? aje kwako ww mwanaume mchafu?

au ww dada uliyewahi kulala na wanaume 3 au zaidi kwa mpigo na umetoa mimba mpk mayai yameisha. umemeza madonge ya kuzuia mimba mpk mfuko wa uzazi umeziba, unataka mume mwema?

madaktari washa kuchokonoa na mavyuma mpk k imetepeta, unaka mume toka kwa mungu?
We kweli kigodoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom