Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Utafiti wa Repoa unaonesha asilimia 30 ya wanawake takribani 1300 nchini wanaona ni halali kupigwa na waume zao endapo wanaondoka nyumbani bila kuaga au kuwaacha watoto nyumbani peke yao. Halafu utafiti huo hausemi kama hiyo asilimia 30 inawakilisha wanawake wote wa Tanzania wa aina ya waliohojiwa.
Swali langu: je kilichoandikwa kwenye kichwa cha habari 'wanapenda kupigwa' na kilichomo kwenye utafiti "wanaona ni halali kupigwa" vina maana sawa kweli jamani?
Asilimia 30 ya wanawake wanapenda kupigwa