Hivi huyu mdogo wa mke wangu anataka nini kutoka kwangu?

May 18, 2015
83
93
Hi guys

There's this girl my wife's younger sister who is still in campus, whom i have always respected as my shemeji

But her recent behavior towards me has caught my attention, she used to ask me for money through her sister, then my wife would pass it to her
Now she asks for money directly from me and she would beg kuwa nisiambie my wife kama ameniomba pesa
At one time aliniambia nimupelekee take away and she was serious because she kept on calling me ya kwamba nisiache kupeleka hiyo lunch box

On 14th of last month which was valentine day alinipigia simu asubuhi akiniuliza nitapeleka wapi dada yake jioni ya siku hiyo, any way tukaongea nae as jokes vile nikamweleza pale nitapeleka dada yake jokingly akiniuliza na mm utanipeleka wapi, nikasema unfortunately leo natoa out mwanamke mumoja tu which is ur sister
She replied that ok basi niletee hata gift tu i will be happy, i was like eeh
Funny enough she told me not to tell her sister kama amenipigia simu

Juzi, Tuesday I received a whatsaap masage from unknown halotel number it said hi I asked who r you? The other person said " ni mm girlfriend wako wa zamani umenisahau? The person was just teasing me hadi baadae kumbe ni shemeji yangu anasema ati alikua akipima mm aone kama niko faithful kwa sister wake ama la

So guys what is all this?
Nimekua nikitamani yy for years but kalikua bado ni kadogo sasa amekua mnono, kiuno yake ni ndogo lakini nyuma ni kubwa nyonyo yake hata bra haitakiwi na pia sauti yake ni nyororo sana
But conscious always prevented me from approaching her because i loved my wife and respected her so much,those days bibi yangu alikua so humble to me siku hizi amekua mukali sana hata nikifika home nafanyiwa inspection all over my body and the phone, zamanialikua polite, above all huyu mdogo wa bibi yangu alikua serious sana those days hakutaka utani na mm nikawa naogopa kumwambia maneno mbaya, but now all over sudden ameanza utani na mm kuomba pesa na kusema nipeleke lunch huko campus kwao and so forth

Guys munasemaje? Nifanye arrangement nimkule au hii ni trap kutoka kwa bibi yangu?
Because the way this young lady behaves it seems she want something from me

Pls advise accordingly
 
Ndigi inaonekana wewe hujui kuandika kiingeleza na pia kiswahili na ndiyo maana unashindwa kuiandika story yako kwa lugha moja.
Ushauri............... Jitahidi kutumia lugha moja tupo, wapo wanaojua hizo lugha zote yaani kiingeleza na kiswahili, sio kama hii kiswanglishi ulichoandika
 
We mtu mzima
Mtu mzima mwenzako ukiona anakosea mwite na umweleze mambo ya kumwanika mitandaoni si vizuri
Mwanaume hapaswi fanya hivo
Kama wewe mwanaume kweli mwite na mwambie au mwambie mkeo
 
Wewe inaonyesha ni Mitu ya Nairobi.hiyo.language.what your inlaw is doing is called 'invitation to treat' my solid advice stay away from her if you want a health marriage life. otherwise you might be catching a tiger by the tail.dont say we did not warn you broda.
 
Acha tamaa, usimkule your sister in law unaweza sababisha mambo mingi in your family hata kupelekea your wife to know you having relation na mdogo wake.
By the way akikuomba kitu wewe mpe tu na usikatae maadam siku zinaenda.

Hahahahaaa......
Sijui nimeweza kumix kiswanglish??
 
Ndigi inaonekana wewe hujui kuandika kiingeleza na pia kiswahili na ndiyo maana unashindwa kuiandika story yako kwa lugha moja.
Ushauri............... Jitahidi kutumia lugha moja tupo, wapo wanaojua hizo lugha zote yaani kiingeleza na kiswahili, sio kama hii kiswanglishi ulichoandika
lugha zake zinaeleweka ila ni kiswahili cha Kenya.poleni aliyewaacha kwenye mataa.
 
Ww unataka kula mdogo ya mkeo achana na kutamani kiuno yake......ww penda mke yako tu
 
Ndigi inaonekana wewe hujui kuandika kiingeleza na pia kiswahili na ndiyo maana unashindwa kuiandika story yako kwa lugha moja.
Ushauri............... Jitahidi kutumia lugha moja tupo, wapo wanaojua hizo lugha zote yaani kiingeleza na kiswahili, sio kama hii kiswanglishi ulichoandika
Huyo mkenya msamehe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom