Mimi ni muumini wa beki imara

Mimi ni muumini wa beki imara

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Mimi sio shabiki wa timu yoyote ya mpira ila nazijua kanuni za mpira wa miguu, kwamba timu yoyote ambayo haina beki imara bila kujali ina washambuliaji wazuri kiasi gani lazima itafugwa tu.

Maana yangu ni kwamba mimi ni muumini wa beki imara, kwa kiasi flani navutiwa na morinyo ambae yeye ni muumini wa beki imara.

Mimi kwangu mwanamke hata awe mzuri vipi huku mbele lakini kama beki hayuko imara hua simuhusudu kabisa, najua mashabiki wengi wa mpira wanaelewa umuhimu wa beki imara kwenye timu.

Wapenda beki wenzangu najua mmenielewa. Asikudanganye mtu kua wapenda mpira wanaopenda fowadi tu,huyo atakua anadanganya.
 
Back
Top Bottom