Haya!
Kuna msichana nilitokea kumpenda sana!sana!
Toka ndani ya Moyo kwa kweli.
Ilikuwa kila nikikutana naye lazima nimwambie 'Nakupenda' penginepo atanielewa laikini wapi!!.Ndo kwanza mwarobaini...
Naamin kila mtu ameamka salama siku ya leo. Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kutupa uzima na afya tele katika maisha yetu ya kila siku pamoja na changamoto zote tunazokutana nazo kila uchwao...
Wengi hujiuliza, kwanini anasubiri siku ya ndoa kisha anakimbia, hatokei au anasema hapana?. iko hivi. kwenye saikolojia kuna mada inahusu uoga. moja ya kanuni ni kuwa uoga huongezeka unapokaribia...
Habari JF Members,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious.
Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45.
Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa...
Ndugu zangu, hii nchi yetu sijui imejengwa kwenye maadili gani? Yaani kukosekana kwa mafunzo ya jando na unyago wanawake hata wapate mwanaume wa aina gani lakini wanachepuka tu.
Una Lea ipasavyo...
NB: tafadhali Angalia Update 1 na Update 2: Chni ya main Post.
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.
Wanajamii; Wana JF
Mwaka 2010...
Wanasema uzuri wa ngoma ingia ulicheze.
Kiukweli Mungu hakupi vyote, ndiyo maana ukifuatilia wasichana wote wazuri warembo huwa hawadumu wakiolewa. Unakuta msichana ni mzuri sura, ana umbo, ila...
Kuna rafiki yangu mmeru kaoa mmachame
Jamaa ni mmeru pure kbs kuongea kimeru tu na mwanamke ni mmachame pure kuongea kimachame tu sasa hii ndo sijui itakuaje
maana hii kali,,,
KUNA mengi ambayo tunaweza kufanya ili kuweka akili na ubongo wetu hai na wenye afya bora kadili umri unavyosonga. Kula mboga za majani, kufanya mafumbo ya maneno (crossword puzzles), na...
Habari za usiku huu wana MMU.
Na tatizo moja, nikikutana na mwanamke hata awe mzuri vipi nikishahisi/kuambiwa kuwa ni malaya yani mawazo ya ngono yanapotelea hapo hapo na hamu inaisha kabisa...
Nina mpenzi wangu mmoja na mpenda sana lakini mashine yake ni kubwa harafu pia hachoki kiasi ambacho nakosa raha ya mapenzi....mwanzo nikafikiri mm ndiyo tatizo lakini baada ya kutembea na mdada...
Habari za siku
mwaka unaisha sasa lakini nataka kuoa. kinachonishangaza pamja na uchakaramu wangu wa kuzunguka huku na huku lakini nimekikosa hichi
Tangia nibalehe na nianza kuwinda wanawake...
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi...
Roboti inayoweza kushiriki ngono kutengezwa
[https://2]
Roboti inayoweza kushiriki ngono na binadamu huenda ikazinduliwa mwaka ujao
Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na...
Habari zenu
Baada ya salamu tupeane pole wote kwa kuisoma namba hasa pasina matarajio ya lini hali za kiuchumi zitaka sawa
Ama baada ya hilo, ndugu zangu naombeni ushauri muhimu sana katika kadhia...
1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.
2. Mama yako...
Sijui ni kwa nini wanawake wanapenda hii tabia:
1. Kumuomba mwanaume ambaye mmefamiana kwa muda mfupi recharge card: Hii ni mbaya sana. Inamfanya mwanamke aonekane mrahisi sana. Mwanamke umeonana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.