Msaada: Hamu ya kumtamani mwanamke inaisha ninapohisi ni malaya

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,827
2,000
Habari za usiku huu wana MMU.
Na tatizo moja, nikikutana na mwanamke hata awe mzuri vipi nikishahisi/kuambiwa kuwa ni malaya yani mawazo ya ngono yanapotelea hapo hapo na hamu inaisha kabisa.

Msaada wakuu nitaliepuka vipi hili tatizo?
 

scorpio me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
5,722
2,000
Inawezekana unapata wa kufanana nao....

Kama si hivyo tulia na mmoja ambae "hujaambiwa kua ni malaya"....ili hamu isikuishe....
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,237
2,000
Mkuu hakuna mwanaume duniani anayetamani kuwa na mwanamke malaya ila mara nyingi hivi vichwa viwili vikishaanza kutegeana kwamba ni kipi chenye akili,always cha chini huwa kinashinda ndo maana ukichukua demu ukishapiga kimoja kichwa cha juu kinaamka na mawazo haya hukujia.
 

Kakole

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,101
2,000
Hatutofautiani aisee...hasa nikichungulia account yake ya Instagram nikagundua kaweka picha kibao za kujibinuabinua basi hamu inaisha kabisa maana nahisi lazima atakuwa yupo kibiashara tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom