Nikikipata hiki nitatulia na kuoa

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Habari za siku

mwaka unaisha sasa lakini nataka kuoa. kinachonishangaza pamja na uchakaramu wangu wa kuzunguka huku na huku lakini nimekikosa hichi

Tangia nibalehe na nianza kuwinda wanawake sijawahi kupata BIKRA au NISWATI kabisa. Mara ya mwisho nilitulia na demu wangu tangu nikiwa advance lakini nikakuta ashatumika. Mwingine nilimpata tukafikia hatua ya kumtamulisha nyumbani nikiamini nitafunga naye ndoa kumbe ana mahusiano na yule aliyemdungua. yaaani na shida tupu. sasa nataka kutulia lakini roho inaniambia nimpate yule QUEEN NISWATI ndo nitulie.

nilichoamua ni bora niendelee tu kumtauta nikimpata basi ndo nitaacha uzinzi na kuoa na kuutangazia ulimwengu sasa nimeacha uasherati
 
kiliochangu

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
1,160

Hao unaowadungua nao watapata wapi bikira? Bikra wa kweli anapata bikra mwenzake
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
3,522
2,000
Inamana usipopata demu mwenye bikra HAUOWI.....si ndiyo....?....au kama kungekuwa na sheria inasema kila mwanaume aoe demu aliyemtoa kizinda(bikra) basi wewe ungekuwa bachela hadi kufa...?....kwa taarifa yako sio mademu wote wanatolewa bikra wengine bikra zao hutoka kutokana na shughuli kama mazoezi ya kuchana misamba,kupanda mitini,kuendesha baiskeli nakadhalika...usifikiri maduu wote walibikiriwa kwa DUSHE.....
 
Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
672
500
Habari za siku

mwaka unaisha sasa lakini nataka kuoa. kinachonishangaza pamja na uchakaramu wangu wa kuzunguka huku na huku lakini nimekikosa hichi

Tangia nibalehe na nianza kuwinda wanawake sijawahi kupata BIKRA au NISWATI kabisa. Mara ya mwisho nilitulia na demu wangu tangu nikiwa advance lakini nikakuta ashatumika. Mwingine nilimpata tukafikia hatua ya kumtamulisha nyumbani nikiamini nitafunga naye ndoa kumbe ana mahusiano na yule aliyemdungua. yaaani na shida tupu. sasa nataka kutulia lakini roho inaniambia nimpate yule QUEEN NISWATI ndo nitulie.

nilichoamua ni bora niendelee tu kumtauta nikimpata basi ndo nitaacha uzinzi na kuoa na kuutangazia ulimwengu sasa nimeacha uasherati
Mbona wewe mwenyewe tayari ni used, unatafutaje brand new? Huna haki hiyo.
 
adolf440

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
251
250
Blaza unaweza usioe kwa mtindo huo, afu huwa hazitafutwi hizo zinakujaga zenyewe kwa bahati tuu, tena zinakuja ukiwa umeshampata wa kuoa japo sio mwenye bikra lakini unakuwa ushasema huyu ndio nitaoa, na ushaanza na tararibu za awali za kujipanga........hamadiiiiiiii .......kitu hiki hapa. Blaza songa mbele wacha kuwaza kufunua wadada wa watu kutafuta hicho unachotafuta utaangukia kwenye ukimwi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom