chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
Wanasema uzuri wa ngoma ingia ulicheze.
Kiukweli Mungu hakupi vyote, ndiyo maana ukifuatilia wasichana wote wazuri warembo huwa hawadumu wakiolewa. Unakuta msichana ni mzuri sura, ana umbo, ila tu akitembea na mwanaume mara moja harudii hii inachangiwa na nini?
Ila unakuta msichana ana sura ya kawaida ila 'mashine inaita mbaya', ina high na low, hii huchangiwa na nini?