Kabinti kangu ka miaka mitano (05) kameniuliza maswali yafuatayo:-
* Baba kwanini mapaja yetu ni makubwa kuliko miguu, wakati miguu ndio inayobeba mwili wote?
*Na juzi kati aliniuliza, "kwanini...
Zamani kidogo kabla hii mitandao haijashika kasi ilikuwa ngumu sana kujua Birthday ya Bidada...
.. Ilikuwa kukumbuka birthday Yake na kumletea kazawadi ni njia ya kuonesha unamjali, unampenda...
Ni muda mrefu jamii hasa akina baba wamekuwa wakiimizwa kushiriki Afya ya uzazi kwa maelezo kuwa akina baba wanaposhiriki kikamilifu husaidia kupunguza vifo vinavyotokana na matatizo ya uzazi...
Umri wangu nini miaka 40.
Elimu:chuo.
Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40. Mwenye chini ya Umri huo asitume maombi. Sitaki kuwa na mwanamke
tegemezi.
Awe na kipato kisichopungua 3m kwa mwezi...
Nakumbuka ile mechi ya Yanga na Simba lile goli la tambwe lilivyouzi watu hii ni kutokana na kuwa mpira unachezwa kwa miguu iweje goli lile lifungwe kwa mkono?
Tukija kwenye uwanja wa malove...
Mimi ni kjana wa umri wa miaka 24 tatzo lnalonisibu nashikwa na hisia za mapenzi kila sikuu yaaan nataman nidooo kla sikuuu na sku nyngne nikikosa kudoo naangalia muvi za kikubwa napiga puli basi...
Jana mida ya jioni nilikuwa nikisikiliza kipindi maarufu kinachozungumzia majanga yaliyowahi kuwapata watu katika redio E fm.
Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi...
Viwango vya wanawake
kuweza kupata mimba
nchini Tanzania
vimepungua hadi 5.2 kwa
kila mwanamke nchini
Tanzania mwaka
2015/2016 kutoka 6.2
kwa kila mwanamke
miaka ya 1991/92,
kulingana na utafiti...
Ewe kijana tumia ujana wako kutafta mtu atakae kupenda kwenye uzee wako. Usipokuwa makini utaishia. Kupata ndoa ya RADI inamulika anga zima afu inapotea
1-kuhifadhia matunda kwenye jokofu-kama kuna matunda kama ndizi hayapatani na ubichi ubichi, valisha kondom kisha weka kwenye jokofu litaendelea kubaki na ubora wake
2-Kutumia kama rubber band-...
UNAJIFUNZA NINI HAPA??
```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.