Mke mmachame mume mmeru hapo sasa!

Mke mmachame mume mmeru hapo sasa!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Kuna rafiki yangu mmeru kaoa mmachame
Jamaa ni mmeru pure kbs kuongea kimeru tu na mwanamke ni mmachame pure kuongea kimachame tu sasa hii ndo sijui itakuaje
maana hii kali,,,
 
Amna ukabila Tanzania na kila mtu ana hulka yake uenda ni mmeru kwa kabila bt ni muhunguja kwa tabia... So sioni Tatizo coz mm ninakaa chugga na mambo kama hayo ni ya kawaida sasa jamaa akamuoe nani...? Akaoe mmalesia au mmchina...? Lazima waoane walioko karibu na jamii yake[emoji131]
 
kwan walitongozana kwa lugha gan?
 
Kuna siku nilishawahi kuwaza..... hivi naweza kwenda ufaransa nikiwa sijui kuzungumza kifaransa au nikakutana na mreno na mie sijui kuzungumza kireno wala wao hawajui kiswahili wala kiingereza. Halafu iwe tumekutana club usiku tushapiga glass kadhaa za mvinyo shurti macho kurembua, sasa huko chini kukianza kunyemvuka tuanafanyaje hadi kuelewana kwamba twende chumbani tukafanye yetu Hahahahhahaa ni shidaa.

Ila shetani bana hakubali kukosa waumini, atawafundisha lugha ya picha tuu na kutabasamu bin kucheka huku mkianza kushika na na kubusiana basi. Shughuli inabaki moja tuu, via vya uzazi kusalimiana.

Ni mawazo ya Kasie tuu hakuna lingine, tena akiwa anawaza kwa sauti....
 
Kuna siku nilishawahi kuwaza..... hivi naweza kwenda ufaransa nikiwa sijui kuzungumza kifaransa au nikakutana na mreno na mie sijui kuzungumza kigezo wala wao hawajui kiswahili wala kiingereza. Halafu iwe tumekutana club usiku tushapiga glass kadhaa za mvinyo shurti macho kurembua, sasa huko chini kukianza kunyemvuka tuanafanyaje hadi kuelewana kwamba twende chumbani tukafanye yetu Hahahahhahaa ni shidaa.

Ila shetani bana hakubali kukosa waumini, atawafundisha lugha ya picha tuu na kutabasamu bin kucheka huku mkianza kushika na na kubusiana basi. Shughuli inabaki moja tuu, via vya uzazi kusalimiana.

Ni mawazo ya Kasie tuu hakuna lingine, tena akiwa anawaza kwa sauti....
duh.unaamsha vilivyo lala asubuhi hii
 
Hao wanawezana kwa sababu hata lugha zao pia wanasikilizana ,ni ndugu wa baba mmoja hawa
 
Kuna rafiki yangu mmeru kaoa mmachame
Jamaa ni mmeru pure kbs kuongea kimeru tu na mwanamke ni mmachame pure kuongea kimachame tu sasa hii ndo sijui itakuaje
maana hii kali,,,

Mbona Simba anazaa?
 
Kuna rafiki yangu mmeru kaoa mmachame
Jamaa ni mmeru pure kbs kuongea kimeru tu na mwanamke ni mmachame pure kuongea kimachame tu sasa hii ndo sijui itakuaje
maana hii kali,,,
Asili ya kimeru ni kimachame.

Meru na Machame wanasikilizana sana.
 
Hao wote wamoja na ukizingatia hao lugha zinaingiliana....
 
Kuna dada mmoja mmachame mzuri huyo anamsambwanda na guu lake alafu anarangi kidogo ya mtume ,lakini mzuri umbo na sura akisimama na kukuangalia ata usimsemeshe muangalie tu msifie .lakini huyo dada mtemi huyo balaa kwanza sauti yake kama dume alafu anagawa dozi kwa wapenzi wake. balaa kwa wale vidume wenye tamaa ya walembo wanakoma hapo baadae kwa huyo binti .Alafu kapanda kidogo mrefu yaani mzuri huyo dada ,alimpiga mwanamke mwenzake akamng'ata mdomo wa chini akatema na kukitupa kule duhuuu kazalishwa na bwana mmoja aliekuwa anaishi nae kabla ya huyu shalobaro wa sasa nasikia kisa cha kuachana alimzingua ndani walipigana adi nje wanazichapa dada yupo uchi wa mnyama na hata ajali anazichapa tu ! huyo baba hana hamu siku hiyohiyo alifunga vilago.
Ila kwa sasa shalobaro mmoja hivi mnyonge kakubali masingi na kukubali yaishe kila jambo.
 
Ule mchezo ni kama michezo ya watoto, weka mtoto wa Kijapan, Kirusi, Kiyahudi, Kinigeria na Kitanzania watacheza tu ingawa hawaongei lugha moja na inawezekana pia wasigundue tofauti za rangi na kaliba zao.
 
Back
Top Bottom