Wanawake hii tabia mbaya inawasaidia nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,049
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
 
Mchane live maswara ya kusemea pembeni tuwaachie ke unaogopa nn
 
Mmh! Mkiambiwa muishi single hamtaki. sasa unamuogopa mkeo unakuja kusemea huku.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kumbe ni nokia ya tochi hata ningekua mimi ningepekua tu. Tena ningesoma hadi delivery reports.
simu ya Nokia tochi na password Wapi na Wapi? whatsapp inbox ni swaga za mjini tu
 
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Mhmhmh huu ujumbe imenibidi nirudi kupekua tena inamaana yuko jamii forum ndio umekuja kunichana live au
 
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Sasa wewe badala ya kumwambia mwenzio unafanya ndio taarifa kwa public, ila na wewe ni majanga ni vitu gani hivyo ambavyo mwenzio akivijua vina shida kama si MAJUNGU??..
 
Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
KAITUMBUKIZE SIMU KWENYE MAJI

HALAFU TUONE SIKU NYINGINE ATASOMA WAPI HIZO TXTs..

jino kwa jino
mwaga mboga nimwage ugali..

[emoji2]
 
Back
Top Bottom