Roboti inayoweza kushiriki ngono kutengezwa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,986
Reaction score
61,204
Roboti inayoweza kushiriki ngono kutengezwa

[https://2]

Roboti inayoweza kushiriki ngono na binadamu huenda ikazinduliwa mwaka ujao

Je ungependelea kushiriki ngono na roboti? ungefunga ndoa na roboti? na Je roboti anaweza kuwa na haki ya kupinga ndoa hiyo?

Haya ni baadhi ya maswala machache yanayoulizwa katika mkutano wa pili wa kuwa na mpenzi wa roboti mbali na kushiriki naye ngono katika chuo kikuu cha Goldsmith mjini London baada ya serikali ya Malaysia ambayo ndio iliokuwa taifa la maandalizi ya mkutano huo kuupiga marufuku.

Hatua hiyo imezua utata sio tu kwa mataifa yenye maoni ya Kihafidhina .

Hakukuwepo na wawakilishi kutoka kwa sekta ya ngono wala roboti za ngono katika mkutano huo.

[https://3]
1482412220163.png

Ni watu wachache walioweza kusema kuwa roboti Pepe alikuwa na maumbile ya kuvutiai

Kampuni ya Real Dolls inayotengeza wanaserere wa ngono ilidai kwamba itatengeza roboti wa ngono aliye na akili bandia mwaka ujao.

Uzinduzi huo iwapo utafanyika utakuwa ushahidi wa David Levy ambaye amekuwa akitabiri ujio wa roboti zinazofanana na binadamu zenye akili bandia.

Alitoa hotuba ya kufunga mkutano huo ambapo alipendekeza utengezaji wa roboti za ngono.

''Tuna roboti za urafiki na sasa roboti ambaye anaweza kuwa mpenzi ndio mtindo mpya''.

[https://1]

Kwa wengine kushiriki ngono na roboti ni ndoto yao lakini kwa wengine ni uharibifu mkubwa

Katika kipindi cha miaka 10 ijayo, inawezakana kutengeza roboti ambayo watu wataihitaji kama mpenzi, ina upendo, inaaminika, inaheshima na hailalamiki alisema.

Wengi watapendelea uhusiano huo wa roboti na huenda wakataka kufunga ndoa nao.

Mpango huo wa mpenzi wa aina ya roboti huenda akazua maswali kadhaa ya kimaadili, hususana wakati ambapo sheria italazimika kutambua roboti kama binaadamu.
 
View attachment 449257

fb3ebe55adb98f5c04124d1e7b1cb1fc.jpg

Hii hapa, wazee wa punyeto kazi kwao [emoji23]
 
ukweli ni kwamba yameshakuwepo muda mrefu mathalani unangonoka na kondomu hilo ni riboti la plastiki tayari
 
-Hakuna kubleed kila mwezi.

-Hakuna kumwaga nje kuhofia mimba au kutumia kondomu ili ujikinge na magonjwa.

-Hakuna kusema sijisikii vizuri siwezi kuja.

-Utakapotaka ndipo na yeye atataka.

-Hakuna kuulizwa ulikua wapi.

Best Of All
Hakuna Kuombwa Hela

A fair deal to me.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa umeuaaaa
 
-Hakuna kubleed kila mwezi.

-Hakuna kumwaga nje kuhofia mimba au kutumia kondomu ili ujikinge na magonjwa.

-Hakuna kusema sijisikii vizuri siwezi kuja.

-Utakapotaka ndipo na yeye atataka.

-Hakuna kuulizwa ulikua wapi.

Best Of All
Hakuna Kuombwa Hela

A fair deal to me.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom