Habarini Wadau,
Najua hili ninalolieleza lilishajadiliwa hapa jamvini ila hakujawahi kupatikana jibu kamili na toshelezi.
Ni hivii nilikuwa nasikia tu kwa wanaume wenzangu kuhusu harufu kwa...
★★MEANING OF KISSES★★
Kiss on the stomach = I'm ready
Kiss on the Forehead = I hope we're together forever
Kiss on the Ear = You are my everything
Kiss on the Cheek = We're friends
Kiss on the...
Inasemekana katika hali ya kawaida "mwanamke hawezi kutofautisha sex (ngono) na love (penzi)"
Hii maana yake atakotoa sex(anakochepuka) ndo huko huko alikopenda(kuna love)!! Possibility ni...
Habari wanaJukwaa Pendwa MMU.
Tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka huu wa 2016 katika takwimu zangu za kimahusiano nakamilisha Idadi ya wanawake 50 niliotoka nao kimapenzi huku wengi wao wakiwa...
Habari wana JF,
Rafiki yangu amekataliwa kwa mama mkwe alivyopelekwa kutambulishwa eti kisa ana kithembe, mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanaume alikuwa nae katika mahusiano kwa miaka minne sasa...
Herini za mwaka mpya 2017
Katika pita pita zangu za huku mtaani kwenye msimu wa sikukuu hii na baada ya kupata mialiko kwa familia tofauti nimekutana na hiki kitu.
hali ya wa baba na wa mama...
HUU UKWELI NI MCHUNGU KWA KWELI.
1. Kamwe usiishi na mwanaume ambae hujaolewa nae, usiishi na 'boyfriend' wako kinyumba hata kama ni mchumba wako, utaonekana uko 'cheap' na ndoa unaweza ukaisikia...
Ni mwaka ambao hautokaa unitoke kichwani sababu binti niliyedumu kwa miaka mitano aliponikataa kwa sababu za kipuuzi.
Namshukuru Mungu alinipa busara nikajiongoza nikamwacha aende zake.
kwa...
Heri ya sikukuu wapenzi,
Huyu jirani yangu na mume wake wana watoto wawili, wakiume na wakike, bidada alitafuta sana nafasi ya kwenda kuongeza elimu, amepata chuo Mwanza, mume kwa furaha...
Pamoja na kwamba mimi ni Certified Player, kununua wanawake wanaojiuza barabarani hapana.
Kuna msemo usemao wanawake wote wanajiuza isipokua mama yako, ila kununua malaya au makahaba wanaojiuza...
Heri ya mwaka mpya wana JF,
Leo nimekuja hapa natafuta mchumba/mke wa kuoa na tujenge familia mimi nina miaka 30 ninaishi Moshi Kilimanjaro, naomba ambaye yuko tiyari anicheck pm au kwa namba...
Wakuu kwema,
Niko njia panda hapa mzazi mwenzangu anatokea Dar na anaelekea kwao mikoani huko kusalimia Sasa Mimi Niko mbali kabisa na mkoa anaoenda yeye lakini amedai atampitisha mwanangu...
Habari zenu wakuu,
Natumaini mwaka unaisha vizuri kwa wanaomaliza tofauti basi pole iwafikie!
Najitokeza hapa tuweze kushirikiana kwa pamoja nijue ni kwa mwanamke wangu tu au ni tabia za...
Hii tamthilia niliwahi kuiona zamani TBC tangu nipo primary, niliipenda sana na nakumbuka enzi zile ilikuwa inaonyeshwa iliwateka watu wengi sana na ilikuwa gumzo kubwa. Nilipopata Smartphone...
Wakuu mpo?
Nimekuwa India kikazi kwa muda wa miezi 2. Huko nilifanikiwa kuhudhuria harusi 3 za kitamaduni mjini Delhi. Kilichonishangaza ni kuwa maharusi walikuwa Watu Wa karibu sana.
Yupo...
Happy New Year wapendwa
Jana nilipata bahati ya kutoka kwetu Kwamtogole, nilialikwa Masaki kwenye New Year's Bash. Acheni kodi ya Masaki iwe juu, kule hata jirani akikaanga samaki si rahisi...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm
Wakuu Natafuta mke
Umri awe na miaka 25 kuendelea.
Elimu diploma na kuendelea.
Umri miaka 38.
Nimeajiliwa serikalini.
Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na...
Wana JF.
Siku za karibu nilipata mualiko kutoka kwa rafiki yangu moja kula chakula cha jioni.
Nilipofika nyumbani kwa rafiki yangu, jamaa kanikalibisha vizuri pamoja na mke wake, chakula...