Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,410
- 1,894
Wana jukwaa natumai mu wazima na mabukheri wa afya..
Bila kumumunya maneno kilichonileta jukwaani ni video ambayo inazagaa ya vijana Wawili ambao wamenaswa wakifanya vitendo vya kishoga..
Binafsi nmesikitishwa sana na vijana hawa wa Kiafrika..
Malezi ya watot wa kiume Yamekuwa magumu jaman tuwe makin
Zamani Watot wa kike ndo ilikuwa changamoto...mda wote roho juu kupata ujauzito.. Au kuanza ngono za utotoni..
Dada zangu walipokuwa wanaenda shule za bweni.. Safar nzima walipigiwa cmu kuhakik Kama wako on ryt truck..
Na wakifka huko wanapokelewa na kuhakiksha kweli wapo shuleni..
Upande wetu sis wa kiume ilikuwa tofaut kabsa.. Hatukuwa tunabanwa kabsa..
Sasa leo vijana wetu wa kiume wanataka tuwalee Kama kina binti Asha..
Yaani saiv Kijana wako akija na Kijana mwenzie unaanza kujiuliza ni rafik au ndo mkwe.. This is very bad asee
Wanaume wa Afrika huu si wakati wa kuvumilia hii kitu.. Turudisheni Jando Wakuu tunusuru vijana wetu..
Mabinti zetu wapate waume..
Ipo wapi fahali yetu Afrika.. Mungu atusamehe na atusaidie..