Waungwana,
Habari.
Inapeperuka dhana mitaani ya kuwa wapo Watu Wanawake kwa wanaume,
Ambao inaaminika ikitokea Punde tu umeshirikiana nae 'Kingono' basi kama una MIPANGO yoyote yakimaendeleo...
Nimekuwa nikipata maombi toka kwa watanzania mbali mbali kuhusu ku-coordinate uanzishaji wa Chama cha Wakinamama pamoja na kinababa waliozaa na raia wa matatifa niliyotaja (Nigerians & Chinese)...
Habarini wadau,Nina rafiki angu ambae tunafanya kazi pamoja ana tabia ya kuwataka X wangu ,Sasa kuna X wangu kaomba turudiane then akaanza kunisimulia jinsi huyo rafiki angu alivyokua anamtaka...
Kuna watu tumewaruhusu Wawe Shareholders
kwenye Maisha yetu lakini HAWANA FAIDA HATA
1....
---Hawajawahi KUKUPA HELA
---Hawajawahi kukupa DILI LA HELA
---Hawajawahi kukupa Ushauri wowote wa...
INAUMA SANA!
Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea...
Upo na mpenzi wako chumbani mkishiriki tendo? Sauti nzuri ya kuugulia tendo lile wakati wewe una push in na ku pull out, ghafla simu ya mpenzi wako inaita akaacha zile sauti na kupokea simu huku...
IWE CHUNGU AMA TAMU
Kwetu ulimi maneno, mengine ni ya ziada,
Siye twatoa misemo, na nyimbo kwenye ibada,
Ladha kwetu siyo somo, ladha kwetu siyo shida,
Iwe chungu iwe tamu, cha msingi ni kushiba...
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa.
Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana.
Mimi ni kijana miaka 27.
Nina shahada ya...
`Kufuatia kifo cha baba mzazi wa Juma(sio jina halisi)tunaomba michango ya rambi rambi itumwe kwenye namba xxxxxxxx kwa kadri ulivyoguswa....................`Ni ujumbe uliotumwa kwenye group moja...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,
Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4...
Habari wanajukwaa,
Nimekuwa nikipata shida sana katika kutambua nini hasa sababu ya mtoto wa kike kumpenda sana baba kuliko mama na mtoto wa kiume kumpenda sana mama kuliko baba. Na vilevile pia...
Habari zenu wanakijiji wa dunia,
Somo hapo juu linahusika:
Haihitaji utafiti takwimu wala ushuhuda kuwa penzi likimkolea mtu kisawasawa basi hubaki kama ndondocha kwa mwenzi wako.-Utafuata na...
Habari wanajukwaa,
Katika mahusiano hua kuna jambo unamfanyia mwenzio unaamini kwa jambo hili litafanya pendo lenu lidumu mpaka kifo. Unalifanya jambo hilo kwa kujitoa sadaka kabisa moyo wako mda...
Habarini Wakuu,
Mada yangu inaanza kwa maswali yafuatayo:-
[emoji666] Hivi inamaana kweli hakuna Wanawake Mabikira sikuhizi?
[emoji666] Hivi kweli hakuna Wanawake wanaojiheshimu na kuheshimu...
Habarini wadau,jamani nna tatizo la kuchelewa kukojoa hasa kuanzia goli la pili na kuendelea yani nikiwa namla demu kulipata goli 2 3 4 5 6 inachukua muda mrefu yani zaidi ya dk 35 kupata goli...
Habari wakuu, nina miez miwil toka nimchukue huyu binti wa kazi ili anilelee mtoto wangu mdogo, ila toka kafika ni mtu ambaye homa hazimuishi kuumwa kila siku....
juzi nikampeleka marie stopes...
Wasalaam wanabodi,
Leo nimesikia magazeti yakiripoti kuwa wanawake nao wachangamkia supu ya pweza.
Supu ya pweza inaaminika kuamsha hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ambaye nguvu hizo zipo...
Wakati wa nyuma kidogo natolea mfano wa account yangu ya Facebook
yaani nikiandikia watoto wa kike hata salamu tu unakuta haujibiwi na mtu hata wa bahati mbaya.
Ila kuanzia wiki ya sikukuu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.