tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,879
- 15,460
Me nakumbuka enzi hizo mapenzi yetu yako kwenye climax afu me nikiwa juu ya mawe hatari,nilikua ndo kwanza bado nakula ugali wa shikamoo home.
mtoto ananifariji kwa vijimaneno vyake vitamu,mfano aliwah kuniambia ''unajua nini honey,i love you to death,wewe na mama yangu ndiyo faraja yangu pekee hapa duniani,siku ukiniacha nahisi nitakufa,tutauza hata mchicha na nyanya but ninachokitaka kutoka kwako ni kuishi na wewe till end of days'' ofkoz huyo ni binti pekee ambaye mpaka leo naregret kumpoteza ktk maisha yangu,short mistake i did ikapelekea mapenzi yake kwangu kuisha kabisa.
ebu tushirikishe na wewe maneno matamu uliyowah kuambiwa na x baby wako ambayo ukiyakumbuka unatamani kurudisha wkt nyuma au hata kumrudia.