Domo zege linatesa moyo wangu

Domo zege linatesa moyo wangu

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
282
Ni takribani miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae.

Kila nikijaribu kutaka kumtongoza msichana nashindwa hata nianzeje, nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona kama ninalazimisha.

Nianzeje ili na mimi niweze kutongoza na kufanikiwa?
 
Kwakuwa lengo lako ni kuoa kabisa na ndio kinachokusumbua kwa dhati. Na ukiwa nae ndoani so linaisha, usiumize kichwa, we fata mila desturi bora za kwenu, kiafrika. Ukimpenda, anza na hatua za kiafrika zinazoshirikisha jamii, wazazi nk au unaona so kumwagwa ktk hatua hiyo?

Usiogope, kwa dunia na life hili kukataliwa pia ni neema tu. Unatest kwingine.
 
Ni takriban miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae,kila nikijaribu kutaka kumtongoza demu nashindwa hata nianzeje,nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona km ninalazimisha
Nianzeje ili na mm nimweze kutongoza na kufanikiwa??


Aloohhhh pole sana mkuu,
Hakuna kitu ninachoonaga rahisi kama hiki.
 
Acha uoga kijana mtoto wa kiume sifa yake ni kujiamini umemuona binti na unampenda mfate mweleze kwamba unampenda mambo yatakuwa poa,ona sisi wenzako umri umesha tutupa mkono lakini bado tunajilia vitamu
hahhaaaaa safi sana mkuu.
 
Inabidi ujue udhaifu wake alafu unatumia mwanya huo una mu attack hapo hapo yaani utakula mzigo kilain kabisaaaaa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nenda kwa mganga wa kienyeji atakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom