Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
jamani nina rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa serikalini huyu rafiki yangu kiukweli kiuwezo yupo vizuli ana nyumba, magali na vitu vingine yupo vizuli .
huyu jamaa urafiki wake na mimi ulitokana tulitokea kijiji kimoja lakini pia hapa mjini huwa tunaonana katika mishe mishe za hapa na pale .
ila kinachonishangaza jamaa kijijini kwao anapotoka wazazi wake wako hoi kimaisha kuanzia nyumba wanayoishi iko hovyo, nguo wanazovaa zimechakaa yaani kwa kifupi wazazi wake wana maisha magumu.
lakini ukimkuta huku mjini mshikaji ni mtu wa matanuzi sana lakini pia hujisifia demu yoyote akimtaka atampata tuu haoni hatari hata kuhonga milioni
sasa nilichokuwa najiuliza ivi ni kwanini inakuwaga ni vigumu kwa kijana wa kiume kumsaidia mzazi wake lakini inakuwa ni rahisi kumuhonga mwanamke yaani unakuta ule moyo wa kujali wazazi haupo kabisaa lakini mpenzi wake upo huwa najiuliza tatizo huwa nini hapooo