Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Leo nimekwenda kuogelea mahali, tu my suprise, vidume wengi walikuwa na uhaba wa manyoya tumboni, ni wachache tu ndo tulikuwa na ka msitu ka Kongo!
Leo ndo nimegundua kwa nini wadada wengi walikuwa wananikata jicho japo nilikip low profile!
Leo ndo nimegundua kwa nini wadada wengi walikuwa wananikata jicho japo nilikip low profile!