Granter
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 483
- 361
Habari zenu wana forum,
Wale wataalamu wa Afya ya MAPENZI naombeni mnisaidie,
Katika sex game, My Girl always huwa ananifanyia kila ajualo hatimaye namaliza kabla ya real sex, hapo nayeye anakua kamaliza/taabani.
Baada ya hapo tuna anza Real sex, ambayo inaweza kudumu above an hour bila ya mimi kufika, huku yeye akiwa kamaliza kila kitu na kuchoka, je?
Hii hali hawezi nisababishia madhara ya kiafya hata kwa baadaye?
Nifanye nini ili niwe kawaida? Hata nikianza na Real sex, goli la pili lazima saa1 izidi, nisaidieni.