Naombeni maombi yenu

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,127
Habari za wasaa, wakuu mbali mbali.

Ni kipindi sasa kama miaka miwili niliwahi kuleta uzi kama huu wa kukumbukwa katika sala zenu. Maana nilipokwenda palikuwa pagumu na hatari sana.

Nimekuja tena kuomba sala zenu na dua zenu, mkiniombea mema, baraka, amani na afya tele.

Mnikumbuke nijiandaapo na ninapo kwenda.

Shukrani kwa wote mtao ni kumbukuka.
 
Mungu atakusaidia na kukulinda na wewe pia usisahau kujiombea
 
we nawe ni mmoja wa maafisa wa4 wanaotakiwa kukamatwa kwa ubadhilifu wa tani elfu 2 za korosho?
 
Mkuu kwani unatoka wapi na unakwenda wapi,
Au na wewe tukiombee kama mzee wa MALAIKA WA BWANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom