Mapenzi sio pesa ona hii

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
1,066
573
Godfrey-Baguma-wife-Kate-Namanda-Uganda-s-ugliest-man-449623-2.png
 
Hivi kumbe hii picha ya harusi ni ya kweli nilizan ya kutengeneza. Hongera zao.
 
Daaah! Nafikiria sipati jibu! Hivi dushee ya jamaa sijui itakuaje kuaje? Halafu romance ? Mmmh sielewi.
 
Muonekano wa nje, hauna nafasi hata kidogo kwenye Upendo wa kweli..
Ukipendwa kwa sababu ya muonekano,
Utaachika kwa sababu ya muonekano.
Maneno yako ni ya kifalsafa..kwamba muonekano uliomvutia mtu ukibadilika aliyevutika naye anapoteza mvutiko..
 
Back
Top Bottom